Recent content by ujerumani

  1. U

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Kazi ipo. Kwa ubora Gani sound bar ya hisense?
  2. U

    Msaada Kuhusu Hizi Air Cooler

    Nasikia hizo air cooler hamna kitu
  3. U

    Kwa dalili hizi, hii ndiyo Covid19 au ni hofu tu inanisumbua?

    Naomba utuandikie hizo dawa za dukani vizuri maana nimeona jina ndefu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. U

    Ubovu wa product ya Mo ukwaju

    Mo hata mimi sijawahi kumuelewa naona ni mjanja mjanja
  5. U

    Specifications za Tigo Kitochi 4G

    Hata mimi nataka nijue. Na Vodacom nao wanayo.
  6. U

    Wataalamu wa simu za iPhone na Samsung

    Bora apigwe tena maana kazidi mno kuuliza uliza
  7. U

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Mbaka usibiri tarehe 11 kwa punguzo la 1500 si bora uagize tu saizi
  8. U

    Bank ipi ni afadhali kati ya NMB na CRDB katika makato

    Bora NMB hata ATM zao zipo vizuri CRDB wazembe sana.
  9. U

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Usubiri mbaka tr 11 Discount yenyewe kitu cha tsh 50,000 discount unakuta 2000. Sijawahi kuona faida yake
  10. U

    App ya Kikuu ni upuuzi mtupu

    Mbona mimi yangu haizidi wiki mbili napata
  11. U

    Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

    Unaonekana hata shule hujaenda wewe
  12. U

    Treni imeacha njia maeneo ya Buguruni Chama

    Ndio maana Mandela Road njia haitembei.
  13. U

    Original Smart band Mi 4 na Apple Earpods zinauzwa

    Highlife tanzania wanauza laki 1 kamili ukiagiza nje haizidi 70,000. Muwe mnajiongeza saa zingine au mnatufanya sisi wajinga
  14. U

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Huyu niliamua kucancel order mwezi nzima bila kutuma. Fantancy naye huwa namkwepa ninapo chagua bidhaa
Back
Top Bottom