Mkuu salama? Hicho kiwanja kina ukubwa gani kwa square meters? Naomba pia namba yako ya simu tuyajenge ili tuone kama tunaweza kuja kuliona eneo. Thibitisha pia kama kweli eneo lina Hati ya umiliki
Kwadilo,
Salaam. Tafadhali nifahamishe kama kiwanja hiki bado kinapatikana nione namna tunavyoweza kukiona na tuongee bei tufanye biashara. Nimejaribu kukupigia asbh hii lakini simu yako haipatikani. Nimekupigia kwa namba ya airtel inayoishia na 62. Kama ukipata notification kuwa namba hiyo...
Kwanza nikupongeze kwa nafasi hiyo uliyopata kwenda kusoma Sverige (Sweden). Kama umepata Chuo Umëa, basi flight yako inapaswa kutoka Dar es Salaam hadi Arlanda International Airport iliyopo Stockholm. Ni rahisi zaidi kufika Umea ukitokea Stockholm kuliko kupitia Copenhagen na kuingia Sweden...
Kuna siku nilisimamishwa na polisi nikiwa naendesha gari kisha akaniomba lifti,nilichomwambia ni kuwa gari yangu sipakii wala kutoa lifti kwa polisi. Yaani chuki iliyojengeka kati ya askari polisi na raia ni kubwa sana. Ni bomu linalosubiri kulipuka. Bahati mbaya watu wameziba masikio hawataki...
Janesc
Janescom,
Pole kwa uliyopitia. Pole sana. Nadhani tunaweza kukutana pamoja tukayajenga,kwa thinking uliyonayo nadhani kuna kitu cha msingi tutakitengeneza na furaha yako itarudi. Sijajua uko mkoa gani,lakini nahisi uko Dar es Salaam. Kama ndivyo,naomba unipigie namba yangu ni hii . Let...
Mahakimu wa namna hii wanaoshindwa kutolea maamuzi wakiwa bold kwa issues za wazi kama hizi wanachelewesha nchi yetu ku realize utawala wa kweli wa sheria. The offence is bailable as per S. 148(5) of the CPA and all that was said by the State Attorney is nothing but mere speculations, why would...
Jeshi letu la polisi safari hii lina kazi kweli. Hivi mwandishi wa barua hiyo,hata kama hana taaluma ya sheria, ameshindwa kuomba ushauri wa kisheria kwamba panapokuwa na mgongano wa vifungu vya sheria mbili kati ya sheria ya ujumla na sheria mahsusi ni kifungu gani kina prevail? Asante Zitto...
Hii kesi tarajiwa ya Cyprian Musiba dhidi ya Lissu, bado natafakari sana sipati majibu, will it be a civil case? If yes then, what would be his cause of action known in law against Lissu? Will it be a criminal case? What offence is alleged to have been committed by Lissu following the press...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.