Kwa Tanzania ya leo, ni vigumu tena kuzungumzia CCM kama chama cha siasa kinachoshindana na vyama vingine kwa mazingira sawa. Kinachojitokeza mbele ya macho ya Watanzania ni mfumo ambao CCM imejikita ndani ya dola, inalindwa na dola na inatumia nguvu ya dola kulinda utawala wake.
Hili si suala...
Kuna jambo linafichwa ndio maana kuna nguvu kubwa sana inatumika kumpamba huyu dogo wao. Wanamjua mama yake ni Mzanzibar ila Kabudi alisema mama yake ni mchaga....🤣🤣
Hii nchi ina watu wapumbavu kwenye nafasi za muhimu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.