Recent content by Uhuru Peak

  1. Uhuru Peak

    Calling for Oustanding Young Leaders

    Are you an exceptional change leader with outstanding potential and significant achievement in shaping your community? Joining the Dar es Salaam Hub of the Global Shapers Community offers you a unique opportunity to work with other change leaders in the city. This is your chance to join the...
  2. Uhuru Peak

    Detox: Namna ya kusafisha miili yetu ndani kwa usalama na kupunguza mafuta mwilini

    Miili yetu inapaswa kusafishwa ndani kwa usalama(cleansing)? Hii husaidia kukinga mwili na maradhi na kupunguza mafuta(uzito). Kutokana na u busy wa maisha inakuwa sio rahisi kupata vyakula ambavyo ni asilia (organic), tunameza dawa, pombe na soda vyenye kemikali, Hivo huchangia mtu...
  3. Uhuru Peak

    Calling for Oustanding Young Leaders

    Are you an exceptional change leader with outstanding potential and significant achievement in shaping your community? Joining the Dar es Salaam Hub of the Global Shapers Community offers you a unique opportunity to meet other change leaders in the city. This is your chance to join the most...
  4. Uhuru Peak

    Forever Living!

    Mkuu FRANCIS DA DON, Sipo hapa kusafisha chochote. FLP hanihitaji mimi nije kusafisha, Mimi nakuelezea kwa uzoefu wangu. Na pia mimi sio msomi hata wa hali ya juu, ni raia wa kawaida kabisa. Situmi nguvu kuhalalisha ninachoamini kiwe kweli. Upo sahihi kuamini unachoamini na ni sawa kabisa...
  5. Uhuru Peak

    Forever Living!

    FRANCIS DA DON Big Sam Wakuu, Kuhusu Pyramid Scheme naomba nitoe ufafanuzi kidogo hapa.. Kila kitu kwenye maisha yetu ni Pyramid Scheme. Kwanzia familia, Serikali, makampuni tunayofanya kazi na mambo yote. Kwenye familia ukiangalia babu zetu wazamani ndio wametengeneza ukoo ulioposasahivi...
  6. Uhuru Peak

    Fahamu sababu 10 za ARGI+ na kwanini ni muhimu kwa afya yako.

    Mkuu, Unachosema ni kweli kabisa. Tatizo lililotokea ni kwamba mwanzoni kabisa watu waliojiunga FLP walikuwa hawana elimu ya kutosha ya jinsi ya kumarket bidhaa zao. Walikuwa wanazita dawa na watu wakawa wanaacha dawa za hospitalini. Sasa hiyo ikaleta mkanganyiko mkubwa. Ila hizi ni bidha...
  7. Uhuru Peak

    Fahamu sababu 10 za ARGI+ na kwanini ni muhimu kwa afya yako.

    Ni kweli mkuu watu wanakosea sana wanapokuwa wanavielezea na jinsi vinavyofanya kazi na hii inapelekea watu wengi sasa hivi inakuwa shida kuamini. Mimi pia nilishaimbishwa mwanzo na mtu ambaye nikamuuliza maswali je naruhusiwa kunywa na pombe akashindwa nijibu. Nilichogundua ni kwamba watu...
  8. Uhuru Peak

    Fahamu sababu 10 za ARGI+ na kwanini ni muhimu kwa afya yako.

    Mkuu, Hii sio dawa. Ni virutubisho (supplements). Kama unakunywa dawa za hospitali endelea kunywa pamoja na hizi. Hizi ni vyakula vinavyokupa wewe virutubisho mwili uweze kufanya kazi vizuri. Ni kweli watu wanakosea wakidhani ni dawa. Hivyi ni vyakula..
  9. Uhuru Peak

    Clean 9: Mkombozi wa wale wenye mafuta yaliyozidi mwilini. Punguza 3kgs - 8kgs Kwa Siku 9 tu

    This is Juma from Morogoro started his weightloss journey using the amazing Clean 9 complained a lot about how tough it is but he decided to go through the pain of discipline and the results are amazing. Kitambi Kushnehi
  10. Uhuru Peak

    Fahamu sababu 10 za ARGI+ na kwanini ni muhimu kwa afya yako.

    Over the last decade or so, L-arginine which is an amino acid has received a lot of attention thanks to Dr. Ferid Murad. His research which won him the 1998 Nobel Prize in Physiology or Medicine showed that - L-arginine worked in the body by being converted to nitric oxide which acts as a...
  11. Uhuru Peak

    Fahamu sababu 10 za ARGI+ na kwanini ni muhimu kwa afya yako.

    Mkuu, hatupo hapa kupotosha umma.
Back
Top Bottom