Recent content by UHURU KABANGA

  1. UHURU KABANGA

    JamiiForums Tanzania New member in Jamii Forums please I need you cooperation

    Ulevi wa pombe sigara bangi na kilevi chaaina yoyote pia umalaya kuwa nawanawake wengi wew kama kijana pia ujinga nichanzo cha umasikini maisha nilazima upambane tunza kidogo ulichonacho kiwekeze kitakuletea faida baadae vijana wa siku hiz niwazembe kufikili na kuchangamkia fursa vijana...
  2. UHURU KABANGA

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Linapokuja suala la ajira, Watanzania tutumie ubunifu. Wasom wote hawawezi kuajiriwa

    Now days dunia nzima hamna serikali ìnayoweza kuajili wananchi wake wote wansosoma naomba tuelewane hapo na serikali ipo kwaajili yakukufacilitate wee kujiajili na sio kukupa mtaji Serikali inapotengeneza miundombinu umeme mabarabara n.k inakupa changamoto weew nijinsi gani weww unatakiwa uwe...
  3. UHURU KABANGA

    JamiiForums Tanzania Yanga Afrika lazima tukae chini tujitafakali kwa walichokifanya Simba liwe funzo kwetu

    Mim naupeo mkubbwa wakuchambua soka ukiona naandika kitu si ushabiki nakama kuna media yoyote inataka mchambuz wa soka please contact me au niunganishe
  4. UHURU KABANGA

    JamiiForums Tanzania Yanga Afrika lazima tukae chini tujitafakali kwa walichokifanya Simba liwe funzo kwetu

    Kwa hatua iliyofika Simba Sports Club kuingia hatua ya makundi CAF Champions League inatupa changamoto wapinzani na sisi tukae chini. Tutafakari;Je, siku tukipata nafasi yakuwakilisha nchi je kikosi chetu kinaweza kutufikisha mbali cha msingi tu Yanga wajipange watengeneze kikosi bora chenye...
  5. UHURU KABANGA

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Linapokuja suala la ajira, Watanzania tutumie ubunifu. Wasom wote hawawezi kuajiriwa

    Watanzania tuwe wabunifu kuhusu suala la ajira, nchi haiwezi kuajiri wasomi wote cha msingi ni kuchangamkia fursa za kibiashara. N.B Kilimo ndio uti wa mgongo fanya kazi kwa bidiii na kuwa mbunifu na mtaji wa masikini ni nguvu zake yeye mwenyewe.
Back
Top Bottom