UHURU KABANGA
Member
- Jan 1, 2021
- 5
- 15
Kwa hatua iliyofika Simba Sports Club kuingia hatua ya makundi CAF Champions League inatupa changamoto wapinzani na sisi tukae chini.
Tutafakari;Je, siku tukipata nafasi yakuwakilisha nchi je kikosi chetu kinaweza kutufikisha mbali cha msingi tu Yanga wajipange watengeneze kikosi bora chenye uwezo wa kushindana na timu kubwa Afrika kama Mamelod, Kaizer, Orlando, TP Mazembe, Al Ahly.
Kwa mawazo yangu Yanga kuna haja ya kuachana na Maiko Sarpong, Haruna Niyonzima, Carlos Carinho. Wasajili wachezaji wakubwa nawenye uwezo mkubwa kuzidi hao maana naona kama vile hawana mchango kwenye timu.