Recent content by Uhuru 79

  1. U

    Safari za JK zamuudhi Filikunjombe

    Sio sahihi bunge kuidhinisha safari za Rais, hasa ukizingatia hadhi ya Taasisi ya Rais. Isipokuwa Rais mwenyewe kwa vile amechaguliwa na wananchi ambao wengi wao ni maskini anatakiwa apime tija itakayopatikana kutokana na safari anayotaka kwenda.
  2. U

    Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

    Nadhani sasa Kibajaji atajifunza kuwa muungwana!!!!!!!!!
  3. U

    Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

    Ukizingatia kuwa matusi yaliyotolewa na huyo mh yalilenga watu binafsi sio vizuri kuendelea kuyarusha hewani. Hasa kwa kuzingatia kuwa Clouds Radio inasikilizwa na watu wa rika zote, kwa hiyo ni aibu kuendelea kurudia matusi hayo. Watangazaji wafuate maadili ya kazi yao. Walioshindwa wameonekana...
Back
Top Bottom