Recent content by Uhakiki

  1. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania Hii ni Tabia ya aina Gani

    Bado upo Arusha mkuu
  2. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Hata vyombo vya habari, vimeacha kumuona kama habari ukilinganisha na siku za awali tangu atiwe nguvuni. Yule tapeli keshakimbilia Canada, alikuwa anajinasibu anaweza kukusanya fedha za kuendesha CDM na hata kulipa makatibu wa kata wa CDM.
  3. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni haki msimamizi wa uchaguzi ahesabie kura mbali na kituo cha kupigia kura?

    Kanuni hiyo imetaja ni katika hali gani kituo cha kuhesabia kura kinaweza kubadilika? Umeandika kuibua hisia, hujaandika kuelimisha. Ulitakiwa kujumuisha jibu la swali nililokuuliza kwenye mada yako.
  4. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania Hivi RC Chalamila anatafuta nini?

    Kiongozi wa dini sio kiongozi wa kisiasa. Chalamila yupo sahihi.
  5. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Padre Kitima. Hakuna dikteta aliyedumu milele hapa Duniani. Hata Nicolae Ceusescu aliuwawa kama panzi kwa uonevu na mabavu yake

    Apewe ujumbe wa kamati kuu Chadema, analichafua kanisa. Kanisa limekubali kutumika kisiasa. Huu ni udhaifu wa Kanisa Katoliki. Kitima ameshindwa kuficha maslahi binafsi aliyonayo kwa msingida mwenzie Lissu. Kanisa Katoliki kuendelea kumuacha Kitima kuwa kiongozi wa Kanisa ni udhaifu wa kimfumo...
  6. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padri Kitima: Muda bado upo, wakae Mezani kujadili dosari za Uchaguzi – Kwanini waenguliwe wale wale tu?

    Apewe ujumbe wa kamati kuu Chadema, analichafua kanisa. Kanisa limekubali kutumika kisiasa. Huu ni udhaifu wa kitaasisi. Kitima ameshindwa kuficha maslahi binafsi aliyonayo kwa msingida mwenzie Lissu. Kanisa Katoliki kuendelea kumuacha Kitima kuwa kiongozi wa Kanisa ni udhaifu wa kimfumo dhidi...
  7. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

    Vyama vya siasa vilivyosaini kanuni za maadili vitashiriki uchaguzi mkuu oktoba.
  8. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

    Kiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai. Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na...
  9. Uhakiki

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025

    Halifungwi kwasababu ni "la hovyo"(kwa maoni yako, kama ulivyoyatoa). Linafungwa kwasababu ni takwa la kikatiba ili kuruhusu matakwa mengine ya kikatiba kuendelea. Asante.
Back
Top Bottom