Vijana wanakufa mtaani huku ajira hamna kabisa. Tangu aingie madarakani ajira amezipa kisogo ili apate sifa za kujenga SGR ambayo hauna msaada wowote.
Mi hata kesho ikitokea mtu wa kumpuga risasi nitafurahi Sana na nitashinda baa siku nzima au wiki nzima mana ndo utakuwa mwanzo was vijana nao...
Mambo makuu 4 yanayochukiza Watanzania kwa sasa
1. Hali mbaya ya Uchumi: Maisha magumu kwa Wananchi- DHULMA
2. Ajira: Vijana wengi kutokuwa na kazi
3. Uhuru: Uhuru wa watu kuminywa na watu kuishi kwa HOFU
4. Usalama: Matukio ya utekaji na mauaji ya watu kushamiri - UKATILI
Mfano halisi ni mbeya ambapo watendaji wamejificha au hawapokei simu za wagombea wa chadema ili kuchukua form. Hivi ndo vikwazo vinavyozungumzwa. Ccm inaogopa sana hakuna anayeipenda.
Anayependa ubaguzi Ni yeye mwenyewe jpm. Refer kwenye mikutano yake ya hadhara anawatukana wapinzani hadharani mbele ya wapiga kura wao harafu eti mnataka ushirikiano, ushirikiano upi? Upinzani nchini umekuwa kama wahaini hata wakiomba kufanya mikutano kutoa mawazo yao police wanakuja na...
Mbona nyie ccm mnaongea kama hamna akili. Nani kakwambia maisha huwa yanasimama kupisha ununuzi wa ndege Kwanza? Unataka vijana wafe Kwanza kwa kukosa ajira. The man has said about increasing unemployment rate in Tanzania and yet you are uttering nonsense.
Kushangilia ununuzi wa ndege wakati Tanzania bado kuna shida kubwa ya maji, miundombinu, umeme, ajira na kilimo ni kukosa vipaumbele katika maisha.
Kuna tofauti kubwa kati ya "Think Smart" na "Think Big". Katika maisha ya sasa ni bora wanao kuzomea kuliko wanao kushangilia.
Time will tell.
Unataka waoneeheje kama kila siku wanabambikiwa kesi mahakamani kiaribu kila kiongozi wa upinzani amepewa kesi! Istoshe wakiitisha mikutano kuongea na wananchi wanatishwa na intelligensia ya polisi! Utafanyaje uongozi wakati unanyimwa room ya kufanya siasa. We mjinga kabisa huna akili
Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.
Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.