Mambo mengi anayoongea Prof. Kabudi ni Utopian

Oct 24, 2019
14
38
Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.

Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.
 
we as african we should supporting each other,kama tungejua tukitakacho tungeweza jikomboa na hao mabeberu, MUNGU anatushangaa sana ni watu tusio na msimamo ijapokuwa ndugu zetu wanakufa bila hatia bado tunaogopa na kuwaabudu as if wanastahili,

ijulikane mzungu anapenda sana damu yake sana tena sana hatokuwa na huruma yoyote pale anapoitetea damu yake au kizazi chake, wale wazimbabwe walivyo leta ubabe kwa ardhi yao kwa wazungu wao wazungu wakachukulia ni kitendo cha kihaini sana so wakawawekea vikwazo wafe waafrica
 
Anaongea as if wazungu wanaona uchungu na sisi waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndo furaha yao. Halafu anafikili wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao wachina watatusaidia Nini.

Wachina hata waone waafrica wanachinjana wao hawajari ili radi wanaextract wanavyotaka.
Afadhali kidogo hao wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapazq sauti. Mana viongozi wa Africa Ni maductator almost wote na wauaji pia.
Kama Mh. Kabudi ni Utopian basi ni dhahiri amemrithi Mwalimu Nyerere kwani Baada ya makubaliano
kwa wanachama wa OAU kuomba uingereza ingilie serikali ya mpwa wake Ian Smith, waliazimia kuwa kama nchi hiyo haikufanya hivyo basi zote wanachama zingevunja uhusiano na UK. Kwa kumbu kumbu zangu ninadhani ni Zambia na Tanzania tu zilifanya hivyo bila ya kujali athari ya kufanya hivyo.
Mwisho wa siku uamuzi huu uliupa heshima kubwa Tanzania na Zambia na ulifanya wapate marafiki wa kweli ambao wanadumu nao hadi leo.
 
Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.

Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.
Mheshimiwa, Kwanza fanya bidii kubwa kuondoa jina unalotumia tafuta linaloweza kukupa heshima mbele ya jamiii kwa ujumla.
 
Wachina ni opportunists sana, kuna bibi mmoja wa Kichina anauza urembo sokoni. Anauza vitu vingi vizuri vya urembo. Nilikuwa mteja wake. Siku alivyojua ninatoka Tanzania alitaka tuwe mashost ili apate Tanzanite, ghafla alianza kuuliza namba yangu ya simu.
 
Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.

Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.
Alisema Mshindi wa tuzo ya Nobel Askofu Desmond Tutu "kuona uonevu nawe ukanyamaza unakua sehemu ya uonevu huo"

Bongo movie mmoja naye akasema "KUVUMILIA UJINGA NAO NI UJINGA"
 
Kama Mh. Kabudi ni Utopian basi ni dhahiri amemrithi Mwalimu Nyerere kwani Baada ya makubaliano
kwa wanachama wa OAU kuomba uingereza ingilie serikali ya mpwa wake Ian Smith, waliazimia kuwa kama nchi hiyo haikufanya hivyo basi zote wanachama zingevunja uhusiano na UK. Kwa kumbu kumbu zangu ninadhani ni Zambia na Tanzania tu zilifanya hivyo bila ya kujali athari ya kufanya hivyo.
Mwisho wa siku uamuzi huu uliupa heshima kubwa Tanzania na Zambia na ulifanya wapate marafiki wa kweli ambao wanadumu nao hadi leo.

Ilikuwa ni Tanganyika (Tanzania) na Ghana waliovunja uhusiano wa kidiplomasia na Uingereza. Ndio moja ya sababu kubwa za Kwame Nkrumah kupinduliwa na jeshi.

Tukiweka siasa pembeni: Vikwazo dhidi ya baadhi ya watu na taasisi za Zimbabwe, ni sehemu ndogo sana ya sababu za mdororo wa kiuchumi wa Zimbabwe. Ila kwa kuwa hii ajenda inabebwa na malengo ya aina mbalimbali tutasikia mengi.
 
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!
 
Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.

Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.

Mtu wa jalalani nae mtu mkuu?

Jinga sana lile
 
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!
Unataka waoneeheje kama kila siku wanabambikiwa kesi mahakamani kiaribu kila kiongozi wa upinzani amepewa kesi! Istoshe wakiitisha mikutano kuongea na wananchi wanatishwa na intelligensia ya polisi! Utafanyaje uongozi wakati unanyimwa room ya kufanya siasa. We mjinga kabisa huna akili
 
Sio kosa lako kuwa mpumbavu kwasababu wewe ni matunda ya baba yako na mama yako kukutana wakati wa upepo wa kisulisuli!! Hao niliowataja hawajaanza siasa leo walianza kabla ya baba yako kuzaliwa na hawakuonesha ukomavu wowote; hata wangeruhusiwa matokeo yake yangekuwa kugombania vyeo na ruzuku!!
 
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!

Mkuu uko sahihi, sasa fanya hivi, hebu anzisha chama chako ili tuone hicho unachoshauri hapa. Hapa umekashifu tu ili kulinda unaowaamini.
 
Sio kosa lako kuwa mpumbavu kwasababu wewe ni matunda ya baba yako na mama yako kukutana wakati wa upepo wa kisulisuli!! Hao niliowataja hawajaanza siasa leo walianza kabla ya baba yako kuzaliwa na hawakuonesha ukomavu wowowte; hata wangeruhusiwa matokeo yake yangekuwa kugombania vyeo na ruzuku!!

Huna lolote zaidi ya kuongea utoto. Mtu akipitia uzi wako anaweza kudhani unaongea jambo la maana kumbe uhanithi mtupu.
 
A wasted sperm!! Mjalaaana hapa hapakufai.

Back
Top Bottom