Nimemaliza Chuo kikuu lakini nimekata tamaa ya maisha
Mimi ni kijana(me)wa kitazania.Ni yatima ninaishi na ndugu yangu upande wa mama, kutokana na maisha duni tunayoishi niliamini baada ya kumaliza chuo huenda kungekuwa na uafadhali lakini wapi, inafika kipindi mpaka naomba 'Mungu aniepushe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.