Ni miaka 50 ya uhuru ya Tanzania maji,umeme,ufisadi,mikopo kwa wanafunzi...e.t.c hvyo vyoyote vina2utafuna watu bdo wanaishi within $1 per day!! Miaka 50 ya uhuru ni ya kifisadi na kwa wale mafisadi coz watasherekea nd blow the 50 candles on the national cake dat they have been eating...kweli...