Recent content by Udong

  1. U

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto Zuhura Ayubu, apigwa, achomwa na kifaa cha moto na baba yake mzazi

    Kuna Mambo mawili muhimu wkt wa kumchapa mtoto jizuie hasira. Igiza Kama una hasira Ila moyoni uwe na furaha kuwa una mrejebisha Ilifanya hivyo huwezi kumjeruhi mtoto kiasi Kama Cha huyo zuhura
  2. U

    JamiiForums Tanzania Suala la Mashoga lamponza Dudubaya. Apandishwa kizimbani kwa makosa ya kimtandao na kutoa lugha za matusi dhidi ya jamhuri na Kusaga

    Kisheria Joseph kusaga sio sawa na Joseph was clouds. Hayo Ni majina mawili tofauti watu wawili tofauti. Hapo Joseph kusaga ambaye anashtaki anatakiwa athibishe kuwa yeye ndiye Joseph mtajwa kitu ambayo Ni ngumu Unakumbuka kesi za lisu kumkashifu rais? Issue Ni rais yupi wakati hata UDSM, TFF...
  3. U

    JamiiForums Tanzania "MADAM SHORTAGE YA UTAIFA"

    Nimempenda alivyo natural
  4. U

    JamiiForums Tanzania Suala la Mashoga lamponza Dudubaya. Apandishwa kizimbani kwa makosa ya kimtandao na kutoa lugha za matusi dhidi ya jamhuri na Kusaga

    Mlalamikaji Joseph ndiye anaueyakiwa kudhibitisha kuwa katwajwa Je kwenye hao walalamikaji Joseph Ni yupi? Joseph #joseph kusaga Ikiwa Joseph =Joseph warioba Kisheria hiyo tayari chenga Ingawa dudu aache ujinga wa kuwadhalilisha watu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Suala la Mashoga lamponza Dudubaya. Apandishwa kizimbani kwa makosa ya kimtandao na kutoa lugha za matusi dhidi ya jamhuri na Kusaga

    Hamna kesi hapo Ni wapi alipotajwa mlalamikaji? Je Joseph aliyetajwa ndiye mlalamikaji....je kwa nin isiwe Joseph warioba ? Dudu Hana kesi ya kujibu
  6. U

    JamiiForums Tanzania I married a Maasai man (Nimeolewa na mwanaume wa Kimasai)

    Mzungu rangi.... Yuko kwenye project na ametafta reliable partner a.k.a mfanye mume....with time mzungu atasepa
  7. U

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto Zuhura Ayubu, apigwa, achomwa na kifaa cha moto na baba yake mzazi

    Usimnyime mtoto fimbo Ila sio kumpigia mtoto Kama fisi au jimbwa unataka kuliuwa
  8. U

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Mko vizuri
  9. U

    JamiiForums Tanzania Tunauza Udongo kifusi

    Udongo/kifusi bado kipo
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tunauza Udongo kifusi

    Mhitaji anakaribishwa site kuangamia Hali ya kifusi, tupo Arusha clocktower/tanesco uliza kanisa la Lutheran....hapo ndipo panapochombw underground packing
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tunauza Udongo kifusi

    Uliza ntakufafanulia Kamani bei unatupa location na ujazo tunamtuma dereva anakagua njia na specifics muhimu muhimu. Kimsingi hatuuzi udongo au kifusi, tunachaji usafiri tu. Kama unalori njoo tukupe bure kifusi
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tunauza Udongo kifusi

    Mkuu kampuni x ya ujenzi jijini Dar waliombwa na mwenyekiti wa mtaa kusaidia kusafisha mifereji ya maji taka am Ayo ilikuwa imejifukia na kusababisha mafuriko Kampuni x ilijitolea kichumba upya Ile mifereji msimu mpya wa mvua ulipoanza Kuna maji yalishindwa kuingia kwenye ule mifereji kitu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tunauza Udongo kifusi

    Tunauza udongo, kifusi kwa Bei poa kwani tunachimba underground parking Tupo ARUSHA mjini Tutakusafirishia mpaka site kwako 0756 404 105
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tunauza Udongo kifusi

    Tunauza udongo au kifusi kwa Bei poa kwani tunachimba eneo la underground parking, Tutakusafirishia mpaka site kwako Tupo Arusha mjini Note: hatuuzi udongo au kifusi mhitaji anachangia usafiri tu Unatupa location within ARUSHA ,tunamtuma dereva akague njia na site then tunakupa gharama 0756404105
Back
Top Bottom