Recent content by udeco

  1. U

    Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

    Siku hizi siyo wanawake tu hata wanaume ambao hawana watoto si Kwa wake zao tu . Bali popote pale. Na wanandoa zinamiaka zaidi ya kumi. Ni wengi sana.
  2. U

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hi riwaya ímeandikwa vizuri sana. Mimi nilianza ilipoanza. It's griping and exhilarating. Episode Moja kwenye mwanzo za sitini nilisoma paragraph Moja siku tatu kwasababu ya uwezo mkubwa wa muandishi kumuweka msomaji kwenye viatu vyake.Binafsi naona ungeganya masters ya fasihi ingekuwa impactful...
  3. U

    Kupanda kwa bei za Mafuta, Serikali inadanganya

    Mpendwa , CNG pia itauzwa na wafanyabiashara tu.Tena itawalipa kwasababu wanaweza kujenga regional CNG trading companies kwa nchi zote zinatuzunguka. Hiyo itawatajirisha mno kushinda kuwa na vicampuni vidogo vya ndani tu vya kuchuuza mafuta.
  4. U

    Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Bei Tshs 350 @ kilogram hapa kiwandani.
  5. U

    Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  6. U

    Kupanda kwa bei za Mafuta, Serikali inadanganya

    Hedge ya uhakika wa kupanda Kwa bei ya mafuta ni kuhamia kwenye CNG.Bei ya CNG ni hiyo hiyo huu sijui ni Mwaka wa ngapi. Annual import bill ni karibu USD billion 15 kati ya hiyo USD billion 3 ni mafuta.Mimi naamini EWURA wakimwambia Kila mwenye kituo Cha kuuza mafuta tunakupa miezi mitatu...
  7. U

    Hivi ukikopa trekta unaweza toboa?

    Tractor haiwezi kurejesha mkopo wa million 60 Kwa mwaka mmoja.
  8. U

    Kwa Mara ya kwanza TANESCO imepata faida ya Shilingi Bilioni 110. Hongera Maharage Chande

    Pasina shaka board mwenyekiti ni Omar Issa na MD ni Maharage Chande ni watu wenye strong private sector background lazima upate faida tu.Binafsi natamani hesabu zilizokaguliwa za tanesco ziwe wazi za miaka mitatu mfululizo Ili nielewe wamewazaje kuligeuza shirika mpaka kupata faida hiyo. Kongole...
Back
Top Bottom