Recent content by Udaga Senior

  1. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hahahah haya dislike hiyo
  2. U

    JamiiForums Tanzania FORBES: Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi’

    Wapigie watalipa tu hawana neno wale.
  3. U

    JamiiForums Tanzania FORBES: Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi’

    Siku zote nabii hakubaliki nyumbani lakini najua thamani yake itakuja onekana tu.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Tundu Lissu kuhusiana na Nassari kuvuliwa Ubunge

    Hapa nani muongo sasa Lissu anasema ameongea nae usiku akamwambia bunge la Novemba alikuwepo na Nassari mwenyewe anasema hakuwepo
  5. U

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Tundu Lissu kuhusiana na Nassari kuvuliwa Ubunge

    Hapa ndipo tunaposhindwa kuwaelewa na Nassari amesema kwenye conference yake alikuwa anashughulikia matatizo ya uzazi ya mkewe nje ya nchi wewe leo unatuambia umeongea nae kwa simu jana usiku akakwambia Novemba alikuwepo bungeni. Sasa wewe na Joshua mwenyewe nani muongo
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa The Citizen: Balozi zote za Ulaya nchini zimetuma ujumbe unaofanana, Je walipanga?

    Hahahahahaa wameandikiwa wakapewa kupost duuh aibu
  7. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga Jamhuri mahakamani Rufaa ya DPP kutaka Mbowe na Matiko kukaa mahabusu kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Kweli mahakama inatenda haki sio kama inavyolaumiwa
  8. U

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

    Unaona, yani maboya mmejaa tu humu, ona hili nalo hambadiliki nyumbu ni nyumbu tu
  9. U

    JamiiForums Tanzania Sabodo: Sitawapa tena CHADEMA pesa yangu, nitampa Rais Magufuli

    Magufuli milele
  10. U

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

    Badala ya mtu kuleta hoja yake, akikutana na mada ngumu hana point za kuchangia anaanza kuita wenzie vilaza na kuporomosha kila aina ya neno baya. Kama huna point unaweza ukajihudumia ukaenda kulala tu sio lazima ucomment au ndio wale wa kulipwa kwa INTERACTIONS walizofanya mitandaoni. Sasa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Lissu: Magufuli anatulisha matango pori, toka mwaka 1999 alikuwa anaunga mkono uuzwaji wa migodi, hicho kishika uchumba Accacia wako mahakamani

    Huyu baba anahangaika na Magufuli duuh, angekuwa mwanamke tungesema alitemwa angali pado anapenda. Kweli JPM amejua kumnyima usingizi, badala ya kuwaza matibabu, pango,ada, malazi yeye 24/7 Magufuli. Nahisi hata wife akishindwa kupafomu atadai Magufuli. Shit!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wenye Nchi ya Tanzania ni wananchi Watanzania sio Maria Sarungi na Jenerali Ulimwengu

    Tumeamka hatudanganyiki wataitisha maforums kibao, sie tunahudhuria tunawacheki tunasema hiiiiiiiiiiii JPM forever
  13. U

    JamiiForums Tanzania Dk. Willem Jacobs: Hatutakiuka makubaliano yoyote tuliyoweka na Tanzania katika malipo

    By Special Correspondent, Pretoria,20-02-2019: AFRICAN countries have been advised to emulate Tanzania’s President John Pombe Magufuli in efficient management of their country’s natural resources for the interest of the people. “I am African. We are all Africans. President Magufuli is...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Hivi kwa kuanzia tu, binadamu ni Lissu peke yake? Raia wangapi wanaua wenzao kila siku na hatujasikia mkizunguka duniani kuwasimulia? Angesimulia tukio la kupigwa kwake risasi na si kukashifu nchi na serikali yetu. Yeye anampinga JPM na vilaza wezie wachache lkn wapo tunaomkubali JPM kwa...
Back
Top Bottom