Recent content by UCHWALA JR

  1. UCHWALA JR

    Dunia inaenda kasi, shaurini watoto wenu nini cha kusomea. Kuna baadhi ya kazi zinakwenda kupotea mazima

    Na watu bado wanaenda kuisoma, vijana wako desperate sana.Kitu wanachoitaji ni kusajiunga na masomo ya chuo kikuu haijalishi ni course gani. We have a long journey to go.
  2. UCHWALA JR

    Je, kweli ni bora kuamini Mungu yupo halafu siku ya mwisho usimkute, kuliko kutoamini halafu ukamkuta?

    It makes senses,Ifike hatua watu wajikite kwenye kujua na kutafuta sababu(Rational Thinking) na kuachana na kuamini. Imani zimekaa kama propaganda au manipulation flan ivi.
  3. UCHWALA JR

    Huu ndio ukweli kuhusu Dini

    Logically, There is no existence without a Creator. Iyo ni ishara tosha kua ivi vitu viliumbwa apo kabla then vikapewa muendelezo(continuity) ndio maana watu huzaliana na mimea huendelea kuota hivyo basi hakuna uumbaji mpya, uumbaji wote ulishafanyika apo kabla. Kama uumbaji upo basi pia...
  4. UCHWALA JR

    The dark side of business

    Kitu kimoja nilichojifunza adi muda huu ni kwamba,Haina budi kujifunza jinsi ulimwengu wa kiroho unavyofanya kazi. Naona kama mojawapo ya viumbe tunaoishi katika huu ulimwengu hatuwezi kujitenga na nature,Everthing matter na kila kitu kinachotokea kwenye maisha yetu sio kwa bahat mbaya,we are...
  5. UCHWALA JR

    The dark side of business

    Ninadiliki kusema yajayo yanafurahisha,Tuendelee kula episodes.
  6. UCHWALA JR

    Matusi ya nini sasa wakati wa kufanya mapenzi ndugu zangu?

    Midadi katika tendo iheshimiwe acha watu waporomoshe matusi ina radha yake.
  7. UCHWALA JR

    Picha : Ukitaka kuwa tajiri uwe na roho ngumu haswa

    Kuishi au kukaa na wanyama kama nyoka skuiz sio kitu kigum tena,wanatolewa sumu wanakua hawadhuru. Ayo masharti mepes sana.
  8. UCHWALA JR

    Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

    Unatuambia au unatufokea🤕, Anyway pesa haitafutwi inategwa...Ukiitafuta utasubir san.
  9. UCHWALA JR

    The dark side of business

    Mwendo ni ule ule kukita kambi,kisha kupata madini kuntu ya nyuma ya pazia.
Back
Top Bottom