Recent content by Uchidachi2025

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mohammed Sinwar ameliwa kichwa huko na Israel. Hamas wanalia kila kona

    Mkuu, mbona hoja yako umeiacha angani. Hatujui kama unatu:- Eleza, uliza, unashangaa; maana mwisho wa hoja yako haina alama muhimu za kukamilisha sentence yako kama hizi (., ?, !, ;).
  2. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye Ilani na Ahadi za Mgombea Urais wa CCM, sijaona popote Sekta ya Kilimo ikitajwa kama kipaumbele

    Mkuu, sekta ya kilimo sasa imeingiliwa sana na TEMBO, hali ni mbaya sana. TANAPA wapewe fungu kubwa kwenye bajeti yao ili kuwa wezesha kutoa huduma bora za kihifadhi kama, kuchimba mabwawa makubwa ya kuhifadhi maji kwa ajili ya wanyama, matengenezo ya mara kwa mara ya barabara ama mipaka ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Je, wewe unajua vizazi vingapi kutoka kwa babu yako? Na ukoo wako umehifadhi vipi historia yake?

    Mkuu, upo sawa, ndio maana nikasema , ni sababu ya nyadhifa, nje ya hapo historia ingefanana tu.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Je, wewe unajua vizazi vingapi kutoka kwa babu yako? Na ukoo wako umehifadhi vipi historia yake?

    Mkuu, hao ni kwa sababu ya nyadhifa zao, kinyume na hapo hali ingekuwa ya kawaida.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je, wewe unajua vizazi vingapi kutoka kwa babu yako? Na ukoo wako umehifadhi vipi historia yake?

    Mkuu, moja ya faida yake ni kuepuka ndoa za ukoo mmoja, ambazo ki-sayansi zina adhali kubwa katika ndoa zetu.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Je, wewe unajua vizazi vingapi kutoka kwa babu yako? Na ukoo wako umehifadhi vipi historia yake?

    Mkuu, watu wengi wanajua kwao na mama zaidi kuliko kwa baba.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

    Mkuu, kuna sentensi inasema " kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa"
  8. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Warioba anajitahidi lakini yupo peke yake, Akina Pinda, Makinda, Pius Msekwa watoke wazungumze kuhusu mustakabali wa taifa letu

    Ayaaa! Kwani hawakulijua hilo kwamba, kila kiongozi huko ana jimbo lake?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Mkuu, hukulijua hilo! kwani uliona wanyama (simba na wengineo) wana tusumbua sana hapa TZ, ukilinganisha na wasiojulikana.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nawatakia majaji na mahakimu wote nchini Tanzania amani

    Mkuu, hakimu gani huyo na wapi?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nani adui wa CHADEMA - Freeman Mbowe au Tundu Lissu!?

    Mkuu, mbona haukuliza swali hili kabla ya uchaguzi Mkuu wa CHADEMA ila umeona uulize leo tunapoelekea Uchaguzi Mkuu wa Taifa; kwani kuna nini?
  12. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kifo cha Ndugai Charudisha Mchakato wa Kura za Maoni Jimbo la Kongwa; Fomu kuchukuliwa leo Jumanne Agosti 12, 2025

    Mkuu, kwa nini huyo No. 2 asichue nafasi hiyo, kama ilivyo kawaida kwa mujibu wa Katiba yetu?
  13. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huenda Waziri mkuu ajaye akatokea Jimbo la Arusha mjini!

    Mkuu, kama sikosei wakati Mh. Sumaye anakuwa PM, mkoa wa Manyara haukuwepo.
Back
Top Bottom