Recent content by uchaguzi wetu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya miaka 16 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Tukiwa tunakumbuka siku ya kifo cha Mwl J.K.Nyerere tunaamini kuwa aliishi kwa kuipenda nchi yake na uadilifu,utu,nidhamu kwa Taifa lake. mwl Nyerere alisifika kwa misimamo yake thabiti ya kimaendeleo.tukiwa tunaingia katika uchaguzi mkuu tujiulize nani kati ya Magufuli na lowassa ambaye...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ombi.waraka wa kakobe usipuuzwe...

    yametimia
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Nilimsikiliza mzee Butiku kwa makini sana, pamoja na kujinasibisha kwake na maadili ya kiuongozi katika awamu ya kwanza, pamoja na kujinasibisha kwake na kuisema iliyo kweli bila kuacha chembe ya shaka katika kusimamia misingi, mzee wetu ameshindwa kukiri kuwa CCM hawana uhalali wala mamlaka ya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa atakatiwa rufaa kwa kuanza kampeni mapema, atakatwa tena

    kujitambulisha ruksa,suala ni kipi unachotamka ktk kujitambulisha huko maana kampeni bado.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa atakatiwa rufaa kwa kuanza kampeni mapema, atakatwa tena

    Taarifa zilizopo rasmi toka ndani ya CCM, wanamvutia kasi mgombea wa cdm kwa kauli zake ambazo zinaashiria ameanza kutoa ahadi wakati kampeni bado. Juzi Nape alizungumza na wanahabari na akaonesha wao wanaepuka kuanza kampeni mapema sio kama CHADEMA. Mpango uliopo ni kumkatia rufaa Lowassa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wakala wa CHADEMA anayefanikiwa kazi aliyotumwa kuiangusha CCM

    una maana ccm sasa haijampa nafasi chaguo la wengi(lowassa),hivyo atahamia upinzani na ccm kufa?eeeh Yericko!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Augustine Mrema: Tumemvua uanachama yule aliyetangaza mimi kutimuliwa TLP

    hii nimeipenda sana imenikumbusha misukule
  8. U

    JamiiForums Tanzania ACT - Tanzania inapambana na vyama vyote Tanzania

    hali inavyoonekana sasa kila Jimbo la uchaguzi kutakuwa na wagombea watatu,mmoja kutoka ukawa,wa pili ccm na wa tatu atatoka act,hii ni aibu kwa act kama ni chama cha upinzani au pandikizi la ccm.kinachoshangaza ni ccm kuitetea act kulikoni?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    naona kama ameokotaokota watu tu,watu wameisha sasa ni kuokotaokota.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya chama cha ACT-Tanzania kukutana leo na kutoa maamuzi ya kizalendo

    kweli inadhihirisha Chadema wako makini.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    USA wampigie kura
  12. U

    JamiiForums Tanzania Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

    nami nimeliona hapa korogwe
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

    polisi wa Tz ni janga la Taifa
  14. U

    JamiiForums Tanzania CV ya Patrobas mrithi wa John Heche BAVICHA

    weka wewe CV!
Back
Top Bottom