Samahani we umewezaje kulog in coz mim nlijiunga juz kila step nkafuzu na acount activation ikawa sawa ila nkilog in wanasema no founder nsaidie nfanyeje na pia user name n ipi na password n ile ya kutoka google email before acount activation au n mpya utakayotengeneza nsaidie tafadhar namiss...
Samahan wakuu naomba mnisaidie kitu kimoja mimi kila nkiingia mkeka bet na kuchagua timu zangu huska so ikifka mda wa kuweka stake inasoma pesa ya timu moja na hii inatokea kwa multipal bet ila nkichoose direct win hailet shida
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.