Recent content by Ubungo

  1. U

    Dudu Baya: Kuna wasanii wa kiume wameolewa na wanaume wenzao, nao wanasema fanyeni kazi

    Huyu naye alishapoteza timming Toka miaka aliyomshambulia Mr Nice zamani hizo pale Doliamobd Jubilee. Kwa sasa amebaki kualumu na kusema wenzie vibaya
  2. U

    Picha: Waumini wa Ufufuo na Uzima wakiendelea na Ibada kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki leo hii

    Hapo wamekodi na kulipa gharama zote mpaka za nanispaa.
  3. U

    Dar es salaam inachanganya sana

    Mitaa ya Kariakoo ni kizungumkuti kabisa. Ila ndio burudani ya Darsalam.
  4. U

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni zaidi ya Bajeti ya majirani zetu wa Burundi sasa Kila mwanakigoma anapato la TZS2,400,000 kwa mwaka

    Hicho ni kipato halisi au kipato Cha kwenye makaratasi? Mbona Kigoma vijana wengi wanakimbia kwenda mikoba mwingine kutafuta maisha na kipato Cha uhakika kipo huko kwao?
  5. U

    Wakwao wanawapa ubunge wa wengine wanaambiwa wakajiajiri

    Hata ukienda kugombea bila kujipanga vizuri hukatizi.
  6. U

    GE2025 Kwanini Mzee Wassira anawataka sana CHADEMA warudi kwenye meza ya maridhiano na kushiriki Uchaguzi Mkuu?

    Kwa kuwa anatambua athari za Chama kutoshiriki Uchaguzi kwa miaka 5.
  7. U

    Ushindi wa Jesica Magufuli unatuma ujumbe gani Chadema?

    Kwani kachaguliwa na Wananchi?
  8. U

    Ila kuna watu wana machozi ya karibu

    Dah, kweli jambo limekuwq zito sana kwake.
  9. U

    Huyu hapa Ofisa wa Magereza aliyemfokea Lissu Mahakamani na kuzua Mzozo

    Issue ya Lissu hadi anatia huruma.
  10. U

    Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

    Nao Wana matamanio ya kibinadamu.
  11. U

    Picha: Wakazi wa Ukonga wakila Kiapo cha Kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms

    Ukonga ipi? Hata matangazo ya huo mkutano haikuwepo? Mawakala katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa hawakuwepo. Siasa sio mitandaoni, ni real practice.
  12. U

    Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

    Unaweza kubebeshwa bastola iliyotoka kufanya tukio ikakutwa kwako.
  13. U

    PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Tume ilikosea kusema CHADEMA haina haki ya kushiriki kwenye Uchaguzi. Kailima ajitokeze hadharani kufuta kauli yake

    Kailima keshasema hadharani kama alikosea CHADEMA ndio iende Mahakamani kutaka haki ya kupigiwa kura
Back
Top Bottom