Recent content by U_freshglass

  1. U

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu nawezaje kuvunja na kumiliki ardhi ambavyo ilikuwa na ugomvi kati ya Mume wangu ambaye kwa Sasa ni marehemu na kisa Cha umauti wake ni kugombea ardhi hiyohiyo. Naweza kuipambania ktk upande wa Nuru na kama naweza kuipambania nifanye nini. Natanguliza shukran
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Ukanda wa Pwani kwa chumaulete hawajambo!

    Mi mwenyewe nimeshihudia dukani kwangu mida ya jioni ukijichanganya kidogo umepigwa
  3. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Dah Asante mi mwenyewe nipo kwenye hii situation, ila najipa moyo sana japo ni ngumu sana
  4. U

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Haya maisha hayana formula, ishi kwa kutenda mema na kuyaacha mabaya huku ukimpendeza Mwenyenzi Mungu
Back
Top Bottom