Wakuu sisi ndo atuelewi tumekandwa au imekuwaje tuliomba post ya Admission officer chuo flani baada ya kuchapa written tukaitwa watatu oral dodoma juzi wametoa matokeo kwa kada zote tuliopiga nao kwenye chuo hicho hicho isipokuwa kwa kada ya Admission officer tu sasa swali langu n kuwa...
Yego mulawe ebu twambie michango ipi na ipi kwako n kero swala la limu n mchango wa kawaida kusaidia walimu wakati wa kurudufu mitihani ya midterm, terminal, Annual je hela ya mtihani mnatoa kwa ajili ya mitihani ipi ? Kama n mitihani ya Midterm, terminal, Annual basi walimu wanakosea sana hyo...
Nlisikia huwaga Kuna msamaha wa kodi kwa watumishi wa Umma ndo nlitaka kujua je kama bado upo ? Na akiuomba hyo gari hadi anaiweka barabarani n shingapi aandae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.