Recent content by TZLIVE

  1. T

    Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Si watu 10-15, ni muhimu kueleza uhalisia. Wasiliana na Rajab Kwasakwasa (Katibu wa CHADEMA Wilaya) au Rajab Mfaume Bujoro (Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya) akueleze ukweli. Mkiendelea kuukataa ukweli mtapata shida. Lazima mkubali kuwa mlikosea, mli-underestimate Impact ya maamuzi yenu...
  2. T

    Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Alitegemea nini? Huo ni utangulizi. Kesho safari Kigoma Kaskazini (Jimbo la ZZK) na Kigoma Kusini (Jimbo la Kafulila). Jumanne Kigoma Mjini - Ngoma inogile!! Mwisho wa Ubaya ni aibu.
  3. T

    Magari 3 Coaster zimeondoka Mwanza kuelekea Kigoma kuifanyia fujo Dr.Slaa

    Mtaweweseka Mno mwaka Huu. Mbinu za Ki-CCM. Kumbe vigigi wa CDM mnawahusudu kiasi hicho wavaa magamba? Wakati mnapanga mikakati yenu nani alikuwepo? Mzee wa watu anajidhalilisha na kampeni uchwara na watoa habari waongo.
  4. T

    Kweli CHADEMA kimenuka! ITV hawajaripoti toka Kigoma!

    Wangeripoti kwa uwazi ingekuwa ni aibu. Acha tuendelee kudanganywa na ma-riporter waliojitolea kuuhadaa umma (MAKANJANJA) Wanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini 1. Wameandaa ziara ya Dr. Slaa ili kuonesha umma kuwa maamuzi ya kuwatimia Zito na Dr. Mkumbo hayana madhara...
  5. T

    Kweli CHADEMA kimenuka! ITV hawajaripoti toka Kigoma!

    Wangeripoti kwa uhalisia ingekuwa ni aibu tupu. Acha waripoti wanahabari waliobebwa na CHADEMA ili kuwadangaya watanzania - Slaa anajuta kwanini alienda Kakonko, Kibondo na Kasulu. Ila nimejua kuwa CDM hawana tofauti na CCM kwa mbinuza uongo na kutumia vyombo vya habari + Propaganda. wenye...
  6. T

    Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

    Sikuwahi kufikiri kuwa wazee wa Kaskazini wanaweza kuwa na mbinu za "Kichawi" kama za CCM!! Wanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini lakini fuatana nami 1. Wameandaa ziara ya Dr. Slaa ili kuonesha umma kuwa maamuzi ya kuwatimua Zito na Dr. Mkumbo hayana madhara wala...
  7. T

    Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

    Mbinu chafu sawa na za CCM: Kwani nani hafahamu kuwa wanachofanya CHADEMA ni mchezo wa kuWanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini lakini fuatana name 1. Wameandaa ziara ya Dr. Slaa ili kuonesha umma kuwa maamuzi ya kuwatimia Zito na Dr. Mkumbo hayana madhara wala athari...
Back
Top Bottom