Magari 3 Coaster zimeondoka Mwanza kuelekea Kigoma kuifanyia fujo Dr.Slaa

Status
Not open for further replies.
FaizaFoxy hapo utakuwa umesema kweli.Fuso ni usafiri maarufu kabisa unaotumiwana Magamba kuwasomba wafuasi wao kuwapeleka ktk mikutano.but this time wanapelekwa kumpinga Dr.wa ukweli pamoja na Mh.Mbowe.

Duh! leo imekuwa hujui kambi rasmi ya upinzani ni ipi?
 
Nasema na ninarudia tena
ZZZK sio tuu ametusaliti sisi watz ila amemwaga damu nyingi za watz
Hizi damu tena za watoto wadogo wasiokuwa na hatia yoyote zitamtafuna hadi kaburini
Mungu ni mwema na mwenye huruma hasa kwa watoto
Leo hii watoto wengi wamekufa wengine ni vilema
Zitto huyu huyu ndo anataka tena kuua ee Mungu njoo haraka
Mimi ninausongo sana na Zitto njoo tena Ujerumani haki ya Mungu tutakuumbua vibaya sana

wewe hujitambui_ZZK na Mbowe /SLAA nani damu ya Watz ipo juu yao? watz tunajua ulaghai wenu wachaga na sasa mtaumbuka tu
 
TAngu lini umeanza kuratibu siku ambazo mama YAKO anaingia KWENYE siku ZAKE ZA hedhi??- NI Aibu UTUNGE uwongo wa mchana kweupe ETI costa zimekodishwa KWENDA KIGOMA,nipo HAPA mwanza nafanya biashara ya costa,MBONA jambo Hilo halipo??-acha SIASA njaa bhana

yaani wewe ndio tamilo kweli sasa kama unafanya biashara ya costa ni lazima wachukue kwako?? Mbona unakuwa kama umeinama kulikoni? Au ndio akili imechoka na uchovu wa kunanihiwa?ushaambiwa costa 3 sasa una bwabwaja kama una **** nini?kazaneni lakini kesho lazima rais matarajiwa awahutubie wana kigoma wanao muhitaji kwa hali na mali, nyie mamburura mnao haha mtandaono kueneza propaganda za msalani(chooni) endeleeni kujitafutia ujira kenge nyie.
 
zitto siku zinazidi kusonga mbele. na wewe ndio mtuhumiwa mkuu wa hawa wahuni mchange na hawa madiwani wawili wa mahakama, kataza vikundi vyako yvote viache kupambana na ngufu ya umma.
 
Kuna Mtu anaitwa Dr Alex anaishi Maweni Kigoma, huyo ndie anaeratibu vurugu zote Kigoma,

Ameahidiwa na Zitto kuwa atamwachia jimbo la kigoma kaskazini, na anapokea maelezo yote toka kwa Zitto na Dr Kaburu,

Tunamtahadharisha kuwa chadema inatambua anachofanya sasa, na matokeo yake atayapata tu,

Anajifanya mwanachadema huku akiendesha vurugu, na masaa mawili yaliyopita amepewa jukumu la kupokea vikundi vya wanaccm wanaotoka Mwanza kwenda kigoma kwaajili ya kuvuruga mikutano hslali,

Tumeanza kumshughulikia!
mkuu watu kama hawa ni vizuri kuwatambua na kushughulika nao! Kama ni maandamano nao wafanye siku yao na sio siku ya dr. Slaa, huo ni uhuni, na haukubaliki hata kidogo!
 
Wewe Chadema imekutia upofu hauoni ukabila wake? Zitto, Kitila. Mwigamba, wamefuliwa vyeo kwa nini? Said Arfi kajiuzulu kwa nini?
mkuu waulize wahusika! Lakini sijawahi kuwasikia wakilalamika juu ya hayo mkuu!
 
Hahahaa ni rahisi kufikiri hivyo. Pale ofisi za chadema kwenye ila room ya chadema tv ndio nasikia mmewekewa computer kw ajili ya kutukana watu mitandaoni

ujue hali ni tofauti sana cdm,vijana wanasukumwa na dhamira zao tu.hawamjui Dr.Slaa wala Mbowe,sidhani kama cdm inaweza kununua lundo lote la vijana
 
Mtaweweseka Mno mwaka Huu. Mbinu za Ki-CCM. Kumbe vigigi wa CDM mnawahusudu kiasi hicho wavaa magamba? Wakati mnapanga mikakati yenu nani alikuwepo? Mzee wa watu anajidhalilisha na kampeni uchwara na watoa habari waongo.
 
Tuna idara za ulinzi wa chama, viongozi na mali za chama,

Tuna ulinzi usioonekana (Invisible S.U)

Tutawadhibiti na kuvunja kabisa malengo yao,

Katiba inaturuhusu kuwadhibi, dhamira pia inaturuhusu kuwadhibiti,

Kwaumoja wetu Wanachadema popote mlipo peaneni taarifa za hao mumiani.
Ulinzi ambao una m favor Boss na kuwaewekea sumu na tindikalo wengine
 
Makamanda mbona mnatuchanganya kili siku mnasema Mwanza nzima ni Chadema kumbe siyo kweli, kama kuna watu wanakubali kwenda Kigoma kutoka Mwanza kufanya maandamano ya kumpinga Dr.Slaa, basi waambie Wenje na Kiwia, wajiandae kuondoka Mwanza kuwaachia wasukuma mkoa wao.

Umesoma wewe? Unajua %age maana yake? Hao walienda kwa ujira wa laki 3 ni magamba,kwani kiwia na wenje walishinda kwa 100%? Nenda shule ukajiendeleze achana na biznes ya bwimbi maana inakulevya!
 
Tunajua hamkutaka aende ili muweze kuendeleza propaganda zenu vizuri....Sasa mmeshindwa. Amekwenda na imedhihirika kwamba wale wanaompinga na wanaomtetea Zitto sio Chadema, bali ni CCM na mashabiki wao.....Na muda si mrefu tutampiga chini Zitto moja kwa moja....

Kama kweli nyie ni wakweli iweje mfuatilie kila hatua mbona gharama sana kwa chama! Katibu alitahadharishwa kuwa hali huku unakotegemea kuja si shwari! Kwanin hakutaka kusikiliza kama mmesema kuwa "Tuna idara za ulinzi wa chama, viongozi na mali za chama, Tuna ulinzi usioonekana (Invisible S.U) Tutawadhibiti na kuvunja kabisa malengo yao, Katiba inaturuhusu kuwadhibi, dhamira pia inaturuhusu kuwadhibiti, Kwaumoja wetu Wanachadema popote mlipo peaneni taarifa na hao mumiani" Je mwataka kudhihirisha nini kwa umma wa Watanzania? Mbona mwapenda shari? Mbona mbele ya umma mwajinasibu kuwa mwathamini watalaamu hali nyie hamthamini? Kwa vile vikosi vyenu vinaendeshwa na watalaamu lakini makao makuu hawasikii ushauri unaotolewa na watalaamu wenu? Mnaonyesha nini mbele ya umma mbona kama mnalazimisha umma uelewe mnachotaka nyie wa makao makuu? Je kuna agenda gani ya siri inayolazimu kufuatailia namna hiyo? Nadhani kwa matatizo yanakoelekea si pazuri maana kama mpaka Katibu anatishiwa maisha bado mnamwambia nenda sidhani kama mnamdhamin huyo katibu wenu na napata uwalakini juu ya vyombo vyenu mnavyojinasibu kuwa viko makini? "Wasemavyo wahenga huwezi kufanyia majaribio sumu kama inaua kweli kwa wewe kuinywa". Badilisheni mtazamo mabishano hayajengi bali huimarisha ufa na kisha kubomoa kinachotegemewa kujengwa na ushauri ni hiyari kufuata lakini uzima/uhai wa mtu ni siuala la lazima kuzingatiwa na huwa halina ushabiki hata kama wewe jemadari vip katika mapambano! Sisi yetu macho juu ya mapambano yenu kupitia wanamtandao wenu!
 
Nasema na ninarudia tena
ZZZK sio tuu ametusaliti sisi watz ila amemwaga damu nyingi za watz
Hizi damu tena za watoto wadogo wasiokuwa na hatia yoyote zitamtafuna hadi wa kaburini
Mungu ni mwema na mwenye huruma hasa kwa watoto
Leo hii watoto wengi wamekufa wengine ni vilema
Zitto huyu huyu ndo anataka tena kuua ee Mungu njoo haraka
Mimi ninausongo sana na Zitto njoo tena Ujerumani haki ya Mungu tutakuumbua vibaya sana

ZITO ameonyesha njia ya demokrasia,SLAA anaonyesha ubabe,kuonyesha upeo wa kufikiri umefika mwisho na hakuna DEMOKRASIA alishasema MJADALA WA ZITO UMEFUNGWA,lakini ndo yeye anauendeleza tena kwa kwenda nyumbani kwa ZITO.


Buriani CHAMA cha DOMOKRASIA NA MAOMBOLEZO
 
“Sasa unaachaje kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“Labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, CCM kwa mfano, eti akina Richard Tambwe Hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama mtu kama Kingunge Ngombale Mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako CHADEMA tu,” alisema mwanasiasa huyo
 
No one is born hating another person because of the color of his
skin, or his background or his religion.People must learn to hate, and if they can learn to hate they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.-"Mandela..r .i.p
 
Kuna Mtu anaitwa Dr Alex anaishi Maweni Kigoma, huyo ndie anaeratibu vurugu zote Kigoma,

Ameahidiwa na Zitto kuwa atamwachia jimbo la kigoma kaskazini, na anapokea maelezo yote toka kwa Zitto na Dr Kaburu,

Tunamtahadharisha kuwa chadema inatambua anachofanya sasa, na matokeo yake atayapata tu,

Anajifanya mwanachadema huku akiendesha vurugu, na masaa mawili yaliyopita amepewa jukumu la kupokea vikundi vya wanaccm wanaotoka Mwanza kwenda kigoma kwaajili ya kuvuruga mikutano hslali,

Tumeanza kumshughulikia!

Acha vitisho wewe ...

Hivi watu wakisema wanaanza kukushughuikia si utakuja kulia lia humu ... ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom