Leo nilikuwa naangalia mfumo wa leseni (Tausi Portal) nikaona section ya Land Sale, wame list Halmashauri zenye miradi ya kuuza Viwanja kwa matumizi mbalimbali mfano Biashara, Makazi pia Biashara na Makazi.
Issue yangu kama wameweza kutangaza katika mfumo kwa nini wasiruhusu pia mtu kufile...
Ahsante kwa swali kwa muulizaje. Naomba nami niulize.
Kwa bank yetu pendwa nmb kwa watumishi wa umma.
Mwenye take home ya 600,000 mkopo wa miaka 3 anaweza kupata kiasi gani maximum baada ya makato yote katika kuchakata mkopo husika. Mwenye uelewa naomba anisaidie.
Natanguliza shukurani sana.
Hili taifa halitaendelea kwa kuwa na Vijana waongo waongo namna hii.
Nimefatilia sana timeline yako na thread nyingi sana umeshaanzia ambazo kwa kuzifuatilia zote zina mashaka.
Habari wana jamvi, natafuta soko la pumba za mahindi.
Kwa sasa nina jumla ya gunia 1,000 zenye ujazo wa debe saba kila moja.
Mahali: Kasulu Kigoma
Mawasiliano: +255 76 2 061 694
Ahsanteni sana.
Nimesoma comment zote, wengi hawaijui hii biashara.
1. Jiulize kwa nini ukiingia kwenye Menu ya Mpesa kuna wakopeshaji wengi?.
2. Kwa nini mpka sasa kuna mikopo ya mtandaoni
3. Pongezi kwa BOT, ili uingie kwenye biashara hii lazima uwe mtaalamu wa mambo ya fedha au biashara tofauti na hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.