ala ,si vizuri kuwazuia watu wasende kupokea neema,Tanzania mbona mnaendekeza uchawi hadi kwenye soka?,ina maana bundi ni tishio la kuwazuia wachezaji wasicheze boli,?namna hiyo soka haliwezi kupanda.yaani msirogwe siku zote mje kurogwa siku ya mechi ya kuadhimisha uhuru, . wenzenu wamekuja...