Recent content by tz_devil

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kadiri Lowassa anavyojiimarisha CHADEMA, ndivyo chama kinavyofifia na kupotea

    Watu kama nyie ndiyo mnaturudisha nyuma. 2017 bado una matumaini ya Lowassa kuwa rais wako, kweli? How old are you and what is your level of education? You must be a Trump voter. Really.
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maelite wa USA watayarisha Sex Tape ya D.Trump!

    Hivi wewe unaijua Military-Industrial Complex au unaongea tu? Unafahamu uhusiano wa supporters was Trump na hiyo Military-Industrial Complex? Unajua maana ya slogan ya Trump "Make America Great Again?
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Jamaa ni kubwa jinga. Ni sawa na mtoto unamuuliza kwanini umetukana halafu anasema mbona John ametukana?
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Nikuulize wewe Bill ameingiaje kwenye huu ujinga wa DJT?
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Hakuna cha ajabu WikiLeaks zaidi ya propaganda za The DeplorableNews (FoxNews).
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Nilikuwa sijui kama Bill Clinton anagombea urais mwaka huu.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

    There is no law against stupidity.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

    Speak up...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

    Huna jipya.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

    Hiyo mikutano tangu ianze inamanufaa gani kwa taifa lako zaidi ya hotuba?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    You must be chuffed with yourself...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Ondoa majungu na chuki zako hapa. Hivi wewe hata hicho ki-ingereza chenyewe unachopigia kelele unakifahamu kweli?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Ni vizuri ku-criticize kiongozi mmoja lakini ni roho chafu, ukosefu wa heshima na upendo ku-criticize kiongozi mwingine. Right?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Mkuu wa nchi "my a**".
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Hicho kiingereza cha JK cha form II wewe umeona lugha? Jamaa anaomba hadi vitabu toka kwa mwananume mwenzake kama mwanamke malaya. What a shame?
Back
Top Bottom