Recent content by tz yetufom

  1. tz yetufom

    GE2020 Unamuonaje Dkt. John Magufuli, macho yako yanaona kama sisi?

    JE, UNAMUONAJE JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, MACHO YAKO YANAONA KAMA SISI? Mwendi R.D +255739333332 Serikali ya awamu ya tano kupitia kiongozi mahili Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli imefanya mambo mengi na makubwa ya kimaendeleo yanayopelekea wananchi wengi ikiwemo wanyonge na wenye hali ya...
  2. tz yetufom

    Andalio la somo (Lesson Plan) la Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli liko sawa

    Uliwezaje ku comment kitu usichokielewa? Mimi sijaelewa ulichokiandika ndiyo maana nimekutaka urudie, kama huwezi itatosha kuhitimisha kuwa hukuwa umeeleww hata ulichokiandika
  3. tz yetufom

    Andalio la somo (Lesson Plan) la Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli liko sawa

    Umelenga kuandika nini ndugu msomaji wa uzi huu? Nimejaribu kurudia rudia nimeshindwa kupata muunganiko wa ulitaka kuzungumza, unaweza kurudia ili ueleweke?
  4. tz yetufom

    Andalio la somo (Lesson Plan) la Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli liko sawa

    Andalio la Somo la Mh. Dkt. John Pombe Magufuli limesheheni ubunifu na maarifa ya kutosha. Kaziiendelee Mitanotena
  5. tz yetufom

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Na watanzania wote hata wewe kama unaishi katika malengo ya Tanzania Yetu. Tembelea Tanzania Yetu "Friends of Magufuli" Tanzania Yetu "Friends of Magufuli" kuweza kuijua vyema na uunagane nasi katika kuijenga tanzania Yetu kiuchumia n.k
  6. tz yetufom

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Tutakukumbuka daima Mzee Mkapa, Pumzika kwa amani Rais Wetu Mstaafu wa awamu ya III Mh. Benjamin William Mkapa.
  7. tz yetufom

    Upendo ndiyo huu, Rais Magufuli na Lowassa

    Acha kutamani mke asiyekuwa wako[emoji16][emoji16]
  8. tz yetufom

    Upendo ndiyo huu, Rais Magufuli na Lowassa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli kushoto katika picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyeambatana na Mkewe Mama Regina Lowassa nyumbani kwa Rais Dk. Magufuli.
  9. tz yetufom

    Tanzania Yetu na Magufuli tena 2020

    Hoja yako ni ipi hasa?
  10. tz yetufom

    Tanzania Yetu na Magufuli tena 2020

    Hakika ni heshima kubwa sana mliyotupa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa
  11. tz yetufom

    Rais amefanya ziara Kisarawe na kuzindua Mradi mkubwa wa Maji Wilayani humo

    Tanzania Yetu “Friends Of Magufuli” kutoka Pwani, matukio kwa picha
Back
Top Bottom