Andalio la somo (Lesson Plan) la Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli liko sawa

tz yetufom

Member
Jun 18, 2020
10
21
Andalio la Somo la Mh. Dkt. John Pombe Magufuli limesheheni ubunifu na maarifa ya kutosha.
Kaziiendelee Mitanotena

tzyetufom_20200817_200429_0.jpg
tzyetufom_20200817_200429_2.jpg
tzyetufom_20200817_200429_3.jpg
 
Naweza nikashangaa lakini Kuna vingine vinastaajabisha.!

Hivi hapo kwenye malipo bure Primary Hadi secondary is it really?

Au Mimi nasomesha shule ya dunia nyingine..
 
Ni vizuri kama hujui hata 'conception of lesson plan' ukae kimya
Inatudharirisha sana sisi walimu. Hatujawahi kuwa na andalio wala lesson notice ya kaliba hiyo.
Nimekatishwa tamaa sana kama duniani bado kuna maandalio kama hayo ila Sisi walimu hatujawahi kuwa na kitu cha namna hiyo.
Narudia tena hatuna kitu cha namna hiyo na kamwe usifananishe Maandalio ya Somo ya professional teachers na mambo ya ajabu ajabu
 
Nchi hii haina binaadamu wanaoishi? Au tuamini watu hao hawana matatizo yoyote! Hata nchi za ulaya haziko hivi, watu wapo na wanahitaji matatizo yao ya kila siku yatatuliwe.
 
Umesahau kuweka namba ya simu, pengine ungekumbukwa kwenye uteuzi. Andika tena uweke namba ya simu na sehemu unapoishi.
 
Umelenga kuandika nini ndugu msomaji wa uzi huu? Nimejaribu kurudia rudia nimeshindwa kupata muunganiko wa ulitaka kuzungumza, unaweza kurudia ili ueleweke?
Ni vizuri kama hujui hata 'conception of lesson plan' ukae kimya
Inatudharirisha sana sisi walimu. Hatujawahi kuwa na andalio wala lesson notice ya kaliba hiyo.
Nimekatishwa tamaa sana kama duniani bado kuna maandalio kama hayo ila Sisi walimu hatujawahi kuwa na kitu cha namna hiyo.
Narudia tena hatuna kitu cha namna hiyo na kamwe usifananishe Maandalio ya Somo ya professional teachers na mambo ya ajabu ajabu
 
Umelenga kuandika nini ndugu msomaji wa uzi huu? Nimejaribu kurudia rudia nimeshindwa kupata muunganiko wa ulitaka kuzungumza, unaweza kurudia ili ueleweke?
Sijaelewa umeandika nini?
Unaweza kurudia ulichoandika labda naweza kukupata unamaanisha nini?
Husomeki mkuu
 
Uliwezaje ku comment kitu usichokielewa? Mimi sijaelewa ulichokiandika ndiyo maana nimekutaka urudie, kama huwezi itatosha kuhitimisha kuwa hukuwa umeeleww hata ulichokiandika

Wewe unaonaje kitu usichokielewa?
Ukiona unasoma ujue unaielewa. Ni vizuri kama hujaelewa urudie tena na tena na tena
Ikishindikana rudi tu shule kuna aina za kusoma kimya hukuelewa pale std 2
 
Back
Top Bottom