Nimebahatika kuziona fainali 5,lakini hii ya Argentina vs France nimeipenda,pale France wanaporudisha bao 2,na ule umakini wa Refarii alipomwona THURAM Marcus kujaribu kupata Penalty akamnasa bila msaada wa VAR
Miongoni mwa huduma inayofurahiwa kwa sasa ni ile ya baadhi ya makampuni kuwezesha mteja aliyepigiwa simu ikiwa offline kupata ujumbe kwamba fulani alikutafuta muda fulani. Huduma hii imesaidia katika mambo mengi ikiwemo kuokoa maisha, kuepusha....binafsi naomba iwekwe option ya mtu anayepigiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.