Recent content by TZ Malaika

  1. TZ Malaika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mlio kwenye ndoa badilikeni, mnachokifanya mnadhalilisha sana waume zenu.

    Kwa hiyo umeamua kuyaleta huku, huna siri hata kidogo, sikwambii tena
  2. TZ Malaika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambo gani zuri ulimfanyia kwa moyo wako wote ila later on akakumwaga

    Nilimxaidia kupata kazi, alikuwa hana kazi, mwixho wake alipofanikiwa akachukua mke mwingine, Mimi akaniacha
  3. TZ Malaika

    JamiiForums Tanzania Karibu Happiness massage services

    Toa maelezo yanayojitosheleza kumvutia mteja, ni aina gani za massage mnazo toa, wapi mnapatika n.k
  4. TZ Malaika

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

    Anatafuta kiki, wala sio kingine namwonaga kama mpenda sifa Siku zote.
  5. TZ Malaika

    JamiiForums Tanzania DAR: Askari Polisi wanne wauawa na raia 2 wajeruhiwa, silaha zaporwa!

    Jamani hapa CCM na CUF inatafuta nini, Mara ufisadi umetokea wapi kwenye tukio kama hili la kusikitisha mbona tunashindwa kuwa serious.
  6. TZ Malaika

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan Yamemfika Hapaa

    Kijana huyu, ajipange tena.
  7. TZ Malaika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo cha hatari ulichowahi kukifanya kwenye mapenzi na kikakushangaza mwenyewe

    Hahahaha uliponea chupuchupu kuliwa tigo nini.
Back
Top Bottom