Recent content by Tyrone mofekeng

  1. Tyrone mofekeng

    Tofauti kati ya mwanaume wa Dar na wa mkoani nyakati ya mvua

    Wangu kwa hiyo utasema bashite na mkulungwa ni wanaume wa Dar? Na ndio hao wanaobebwa
  2. Tyrone mofekeng

    Mtanzania auliwa kwa kupigwa na jiwe na mtanzania mwenzie Cape town, Afrika Kusini

    Mkuu elimu inahusika na nini kwenye taarifa za vifo. Kufa hakuna elimu mkuu. Kuna passport ya aliekufa na alieuliwa. Kuna nini kinahitajika zaidi
  3. Tyrone mofekeng

    Mtanzania auliwa kwa kupigwa na jiwe na mtanzania mwenzie Cape town, Afrika Kusini

    Kaka hapa alieua kashajulikana. Nyumbani Hua wanaitwa watu wasiojulikana. Kama unanielewa lakini
  4. Tyrone mofekeng

    Mtanzania auliwa kwa kupigwa na jiwe na mtanzania mwenzie Cape town, Afrika Kusini

    Huyo ndio muuaji. Bado tunatafuta picha ya marehemu
  5. Tyrone mofekeng

    Mtanzania auliwa kwa kupigwa na jiwe na mtanzania mwenzie Cape town, Afrika Kusini

    Kijana wa kitanzania aliyefahamika kwa Jina moja la Dickson aliuawa kwa kupigwa na jiwe na mtanzania mwenzake jana na kuporwa kiasi cha pesa kipatacho R12000. Akitangaza msiba huo. Katibu wa umoja wa watanzania cape Town (TAC) alisema muuaji huyo alifanya tukio hilo kwa kushirikiana na mkewe...
  6. Tyrone mofekeng

    Nimeingiwa na hofu wakati hakuna tatizo lolote!!

    Kweli. Ila inawezekana ili limfike inabidi achelewe kidg. Ndo mana ana wasiwasi
  7. Tyrone mofekeng

    Nimeingiwa na hofu wakati hakuna tatizo lolote!!

    Shida haijulikani lipo sahihi wapi. Unaweza kufikiria halipo sahihi kazini ukaacha kwenda. Kumbe linakusubiri home
  8. Tyrone mofekeng

    Magufuli’s M.O.

    The first Step is to communicate through English
  9. Tyrone mofekeng

    Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Mimi nina zaidi ya hiyo pesa. Mara tano zaidi. Kwa hiyo nimeizidi serikali?
  10. Tyrone mofekeng

    Utafiti: Sababu ya wanawake kupiga kelele wakati wa kujamiiana

    It's just a communication. Telling each other we doing it Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
  11. Tyrone mofekeng

    Mecca ndio mji bora duniani

    Haifai kujibizana nao hao. Watu wasiojua hata wanachoamini. Kwa mana hapo umesifia mji. Wao povu la nini. Siilikua wapiga kimya tu
Back
Top Bottom