Recent content by Typhoid

  1. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

    Hivo kwanza mwanaume utaanzaje kubakwa? Kisa mke wa mtu? Njoo huku mara ujaribu kumbaka mwanaume kisa kakuchukulia mke, utaondoka bila kichwa
  2. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

    Kwani huyo mwanaume ndo amekuaa amemuumba mwanamnke? Umesalitiwa toa taraka. Mimi ukinikamata ugoni muulize mkeo kwanini anazini, lakini ukisema unakuja kibabe kwangu ujue kuna mawili, ufe au nife. Huwezi kuniingilia kinyume cha maumbile kifara hivo. Mwanamke sio mali yako. Mie nikimkamata ugoni...
  3. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Kamwe Mwanaume usije fanya hili jambo. Ndo chanzo kikubwa cha kupoteza Uanaume wako na kudharauliwa na mwanamke

    Asante mkuu. Mambo ya faraga ya mtu mwingine chumbani yanasumbuaje watu wengine
  4. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

    Hio Yellow ni flavor gani. Mimi ni mtu wa chapati na supu ya utumbo. Yani mwanamke akinidhibiti hapo tu nimeisha
  5. Typhoid

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Usingizi bado, natafuta sehemu ya kwenda kunywa bia
  6. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

    Kijijini, mambo ya keki sijui nini nimeyajua nikiwa High school. Sijwahi penda keki ya aina yoyote ile.
  7. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

    Mliokulia mjini mtajijua
  8. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Wanyonya uchi

    Ni kama vilivyosema, siri za watu chumbani zinakuhusu nini? Hangaika na hisia zako mwenyewe
  9. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Wanyonya uchi

    Kwani binadamu tuna shida gani? Hiki ulichokiandika sio utu, its selfish. Hisia zako kimapenzi huwezi kuzilinganisha na za watu wengine, kuna level za intimacy hata kwenye wanyama wengine sio kwa binadamu tu. Mambo ya watu wengine wakiwa faragha yasikuumize kichwa, hangaika na hisia zako mwenyewe.
  10. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Bila kutaja kazi yako, weka maneno unayoyaongea kila wakati ukiwa kazini kwako

    Control F Shift....Enter Return MyRefund
  11. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu (Family friend), kanipa penzi najiona nimekolea

    Nashindwa hata kujibu
  12. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

    Sex is my pleasure
  13. Typhoid

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe hazeeki maini, leo yamenikuta kizembe

    Maisha magumu aisee, na tunaohonga magari je?
Back
Top Bottom