Shukrani kwa updates
Naona bei baadhi ya maeneo inazidi kuporomoka kwa kasi
Kwa muwekezaji 'kangomba' hapa ndo unatafuta faida ya tsh 500 kwa kilo ikizidi sana labda tsh 1000
Mashujaa wapo vizuri aisee
Ile foward wao mweusi yenye upara inaitwa Ismail Mgunda ni hatari aisee,, ana nguvu, speed, good Ball control, mzuri chini mzuri juu kwenye kuruka, lazima achungwe sana
Pia wapo wasumbufu kina Seif Rashid Karihe, Hassan Ali na Stambuli mzee wa kazi chafu pale kati...
Uchaguzi wa 2005 JK vs Mbowe, Mbowe hapa hakuwa mpinzani mwenye nguvu, Mbowe was too soft, hakuwa na umaarufu wa kutosha kwa kifupi Mbowe na Chadema walikuwa wa kawaida sana sana
Upinzani mkubwa 2005 ulikuwa kati ya JK vs Prof Lipumba
Hapo ndo vumbi lilitimka
Hakuna mchezaji ligi yetu anaitwa MAROON Tchakei
SBS ina mchezaji anaitwa Marouf Tchakei
Marouf Tchakei ni bonge moja la #10, ana kasi, anajua kuficha mpira (possession skills), anajua mipira iliyokufa faulo&kona
Simba walishaongea mpaka na agent wake msimu uliopita ili wamsajili lakini...
Ukiona beki za pembeni hazipandi basi ujue hayo ni maelekezo ya Kocha
Kumbuka Yanga eneo lao kiungo na ushambuliaji wana watu wenye kasi kina Pacome, Azizi, Maxi, Dube, hvyo beki za pembeni zikiwa zinapanda panda hovyo alafu ikapigwa counter utaadhirika
Hii sasa ni kuifedhehesha nchi yetu aisee
Halijapoa la Okra, limeibuka la Konkon
Ndani ya miezi michache tu barua kutoka FIFA zimeleta madai ya
1. Gael Bigirimana
2. Luc Aeymael (aliyekuwa Kocha wa Yanga)
3. Lazarus Kambole
4. Okra
5. Hafiz Konkon
6. Barua nyingine ilikuja mwezi APRIL baada...
Nyuma mwiko si ana kikosi kipana, mashaka ya nn sasa
Tena mkamlaghai hadi Clatous Chama asisafiri na National team kurudiana na Chad asingizie ana family problems
Hio ndo faida ya kufanya collabo na our international artist Diamond Platnum
Beat kali S2kizzy, lyrics, flowing style na dancing style imeipeleka video worldwide
Mkuu mbona swali langu ni rahisi sana
Nitajie nchi moja África katika michuano either ya Afcon au FIFA games inayotawala kisoka huku ikitumia local players (wanaocheza ligi ya ndani ktk nchi husika) wake na sio wale wanaotokea Vilabu vya Ulaya & Asia
Mind you kwa mujibu wa CAF national team...
Nimekutajia mataifa ya África yanayofanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa na wanavyobebwa na uwepo wa wachezaji wao kutoka Ulaya na Asia
Sasa nitajie nchi yoyote ya África inayotamba kwenye Afcon na FIFA games inayotumia local players wake wanaocheza ligi ya nyumbani tu
Hujui mpira wewe, unabwabwaja tu
Congo DR wapo bora sana kwasbb kikosi chao kati ya wachezaji 24 ni wawili tu wanacheza ligi za África,, Inonga na Mayele (anayeanziaga benchi mechi nyingi) waliobaki 22 wote wanacheza Ulaya na Asia , quality ya wachezaji ipo juu kuliko sisi
Ukiangalia mataifa...
Na Karma hii usifikiri inaenda kwa viongozi wa Serikalini walio madarakani tu bali hufika mpaka kwenye vyama vya upinzani
Kwahiyo tutegemee siku Karma ikafika mpaka kwa familia ya boss wenu Mbowe kwa damu ya Chacha Zakayo Wangwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.