Natafuta mtu anaefanya biashara ya mama ntilie anaeijua na kuipenda kazi yake anaetamani kukuza biashara yake ila amekosa mtaji tuingie makubaliano tufanye kazi.
Naomba uwe mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu. Tafadhali mwenye uhitaji anitafute PM.
Habari wandungu
Nahitaji pilipili hoho za njano na nyekundu kwa bei ya jumla, mwenye nazo naomba ani PM tafadhali tufanye biashara. Napatikana Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.