Recent content by Twins love

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hupaswi kumwamini mwanaume yeyote anayekwambia "nakupenda"

    Kweli kabisa yaani mwanaume Kama hajakuoa akikwambia nakupenda jua anataka mapenzi, hiyo ndy njia wanayotumia ohoo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Nimeipenda biashara ambayo umeisema juu ya oil chafu hivyo ninaomba uweze kunisaidia location ya viwanda Ili nami nifanye investigation juu ya hili. Pili naomba kuuliza ,kwenye viwanda inapelekwa oili ikiwa tayali au ninachotakiwa kupeleka ni izo taili tuu na kuuzia kiwanda? Asante Sana Kwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vyombo vya plastic

    Hi guys habari, naomba mwenye kujua lolote juu ya biashara ya vyombo vya plastic ivi vinavyouzwa mitaani Kwa Bei ndogo kabisa ,Kuna mtu anahitaji kufanya lakini hajui A B C D zake, yupo dar , Huuzwaje Kwa Bei ya jumla, vinapatikana wapi na faida yake ipoje? Hua naona watu wakiuza Hadi bukubuku...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ifikie hatua tuachiane nafasi

    Em tusemni ukweli,ivi mwanaume hakutafuti siku mbili ,akituma labda n kisms kimoja Cha usiku mwema, hajui kutoa ata ela ya vocha ,hajui Wala hajali lolote kuhusu wewe na yupo busy still anasema anakupenda, huo n upendo? Mawasiliano yananguvu mno aisee
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ifikie hatua tuachiane nafasi

    Ya kiutu uzima ndio ya kukaa siku mbili bila kuwasiliana au ipoje , kuwasiliana Kama Kuna mambo ya muhimu tu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ifikie hatua tuachiane nafasi

    Ivi kumbe hampendi? Sasa why mnawatafuta wapenzi wenu mala moja Moja sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

    Nataka kuchukua mashuka na mapazia mnauzaje uko?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Inatumia muda Gani Hadi vitu kufika?
  9. T

    JamiiForums Tanzania SHUGA MUMMY wana faida na hasara zipi kwa vijana?

    Tafuta ela ,unaogopa majukumu,mnaniuzi vijana wa hivi uoni ata aibu kuongea mfyuu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kupenda kwangu kukaa mwenyewe kunafanya asilimia kubwa ya watu wanaonizunguka waone siwapendi

    Mimi sipo Ivo , nipo charming lkn nikiwa na watu nilowazoea na kama sijakuzoea naweza kukupa hi imeisha iyo issue n kuchangamana , marafiki sjui eti nipo home niende Kwa majirani kupiga umbea , mazoea zoea ndy siwez so nikiwa pekeangu naenjoy zaidi. Ndg nawasiliana nao poa tu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kupenda kwangu kukaa mwenyewe kunafanya asilimia kubwa ya watu wanaonizunguka waone siwapendi

    Hee ,wewe ni Mimi kabisa[emoji849] Hadi nishazoea najionea kawaida, sichangamani na watu yaani naenjoy kukaa pekeangu,nikitoka kwenye mishe zangu n ndani Hadi majirani wanaweza his sipo , n mie na simu nikichoka kulala yaan kuwa free Hadi mtu nimzoee Sana , basi Kama hio ni shida nahis nipo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nina kibamia

    Tafta mwanamke bikra ,oa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke ukimwambia unataka kumuoa ndiyo anakukataa mapema?

    Af kweli tunakuaga Ivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,tunahisi n uongo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanamke anajifunza kupenda?

    Asanteee
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanamke anajifunza kupenda?

    Kwahiyo mwanaume yeye hajifunzi kupenda au
Back
Top Bottom