Recent content by twilumangula

  1. T

    JamiiForums CRDB kukata watu mikopo bila kutowapa hela ya mkopo ni unyanyasaji na wizi

    Lengo lao ni kutaka kujua kama ni active employeee or not hata mimj walinifanyia hivyo ila the next month nilizikuta hela zote. Lengo lao ni kujiridhisha je kweli LAWSON inasomeka??? Si unajua suala la wafanyakazi hewa mkuuu bank zimekula hasara sana aiseee
  2. T

    JamiiForums Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Hivi kwani aliambiwaje na malima mpaka akapandwa na hasira vile?
  3. T

    JamiiForums Mwalimu wa kiswahili

    ninachojua walimu wanatafutwa kila mahali. toka 2009 alikuwa wapi ama ndo wale ambao wanpenda kufundisha mkoa mmoja tu(Dar es Salaam).
Back
Top Bottom