Recent content by Twenty Twenty One

  1. Twenty Twenty One

    Nini hiki na kinatumikaje?

    Mentality ya kimaskini na kijinga hiyo kujibu kitu usichokuwa nauelewa nacho
  2. Twenty Twenty One

    Nini hiki na kinatumikaje?

    Kama hujui Kama kimya
  3. Twenty Twenty One

    Nini hiki na kinatumikaje?

    Sio kweli. Akili yako mbovu
  4. Twenty Twenty One

    Nini hiki na kinatumikaje?

  5. Twenty Twenty One

    Yu wapi Mwisho Mwampamba?

    Mtoto wa Profesor Mwampamba wa SUA huyu. Hawezi kukosa connections sema anazikataa kwa kuamini tofauti.
  6. Twenty Twenty One

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Mzee wangu kwanza pole kwa yaliyokukuta. Ila mpaka hapa nilichogundua ni wewe kumwamini sana mwanamke. Kosa kubwa sana hilo. Hata Adam alifanya kosa kama hilo kumwamini sana Hawa hata akakubali kula tunda alilokatazwa na Mungu. Pia Mungu alituamrisha "kuwapenda wake zetu" (sio kuwaamini), na...
  7. Twenty Twenty One

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Ushauri mzuri sana. Kwenye neno mchepuko umetumia herufi kubwa kuonesha msisitizo eh? 😂
  8. Twenty Twenty One

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    It seems unamatatizo makubwa kuliko huyu mleta mada. Otherwise usingemuattack namna hii. Pole na utafute wataalam wakusaidie kabla haijawa mbaya zaidi.
  9. Twenty Twenty One

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    So unataka kutuambia pisi kali tuzipite kama tunaaga maiti? Haiwezekani. Mungu alisema kabisa amewaleta kwa ajili yetu, kama vile alivyoleta vitu vingine vyote tuvitawale. Kwanza nshakupenda mimi 😁😁😁 Mambo ya fainali niachie mwenyewe 😂
  10. Twenty Twenty One

    Mali za mmiliki wa hoteli za Naura Spring na Impala kupigwa mnada kufidia madeni ya Wafanyakazi 238 na Benki ya NBC

    Nakubaliana. Kuna project ilikuwa tufanye sasa wakati wa majadiliano ilikuwa inanilazimu kukaa pale Impala hadi saa 5 usiku ndo anakuja tunajadili.
  11. Twenty Twenty One

    Nini Simba ifanye kuvuka group stage ya CAF CL

    Ijumaa hii Simba ataanza kampeni yake ya kutinga robo fainali ya CAF CL kwa kumenyana na AS Vita Club ya DRC katika uwanja wa mashujaa pale Kinshasa. Pambano la mwisho uwanjani hapo alipoteza kwa 5–0 lakini mambo mengi yamebadilika katika vikosi vya timu zote mbili. Vita Club waliuza wachezaji...
  12. Twenty Twenty One

    Je, ni kupooza kwa Bunge ndio kuliwafanya wachezaji wa Simba SC walale usingizi Bungeni?

    Kusinzia kitu gani wabunge wenye shuhuli yao huwa wanalala kabisa. Hata hivyo wale ni team ya soka na kazi yao ni uwanjani kama walivyofanya leo pale Jamhuri
Back
Top Bottom