Recent content by Tweetylicious

  1. T

    Salon ya America nails wanachagua wateja

    and thats the end of yo thinking capacity..bleh m nt suprised
  2. T

    Salon ya America nails wanachagua wateja

    unfortunately hiyo ndio ilikua mara ya kwanza kwenda hapo na sifahamu mtu yoyote lakini nilikutana na mdada na baada ya kunijibu hovyo niliamua kuondoka na kutafuta huduma some where else..
  3. T

    Salon ya America nails wanachagua wateja

    sikupenda kubishana pale kung'ang'ania huduma kwa mtu asie taka kukuhudumia ni kujidhalilisha tuuu.... lakini pia kuweka huu uzi hapa si kuw ninalalamika lakini niwaasa watz kama tukiendelea na attitude hii itatucost lakini pia wamiliki wa maeneo mbalimbali..wafuatilie jinsi wateja aao...
  4. T

    Salon ya America nails wanachagua wateja

    nitafanya hivyo sasa ila hapo mwanzo niliagizwa hapo kwani mimi natokea mkoani na nilikua na shughuli hivyo nilipenda kutengeneza vizuri lakini yaliyonikuta ...najuuuuuta
  5. T

    Salon ya America nails wanachagua wateja

    hii saloon ni ya kike ipo kinondoni one of the very best in town na masta wengi wanapenda kwenda hapo...kwa kweli kazi yao ni nzuri ila tatizo wateja wakawaida kina siee wanatutreat vibaya mnoo....
  6. T

    Salon ya America nails wanachagua wateja

    kamwee hatutakaa tuendelee kwa halii hiii...na ndio maana wenzetu wakenya na sehemu nyingine wanatushinda kwenye hivi vitu ..our customer care is poor...!!na watu wenye haya maeneo iwe hotel,saloons restaurant wawe very keen wanapoteza wateja kwasababu wafanyakazi wao hawawezi kudeal na wateja.
  7. T

    Salon ya America nails wanachagua wateja

    Nasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hiyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazeti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo ambao wengi wao ni masupa star...
  8. T

    A round of applause to ol em confident ladies out there!!

    hahah....watoto wamjini watabeba vyombo...lol true dat ..i liked the confidence of the lady wit the b.f she left me thinking nkasema kumbe wapo wanaoweza give their men sm space ila akili kumkichwa or else she was on the play tha playa strategy ..ol in ol...ni vyema as u put it abiria chunga...
  9. T

    A round of applause to ol em confident ladies out there!!

    I’ve always liked those confident ladies out there, leaving her man at the table alone while she does a bit of PR all the while knowing that some women were salvating over her man. I remember going to this party and I was talking to this nice guy. He didn’t flirt, but was simply entertaining...
  10. T

    Tecno mobile Mega Thread

    asante sana kwa ushauri chief nimekusoma...i really needed that kwasababu sitaki kukurupuka atleast unachukua kitu reliable.shukran
  11. T

    Wafanyakazi wa benki

    huyo anataka tip ...watu wanaboa...mtu ameajiriwa kwa kufanya hyo shughuli lakini...akishaakuhudumia anataka umpe kitu kidogo wabongo nomaaa..
Back
Top Bottom