Recent content by twatwa

  1. T

    Rav 4 milango mitano na Ist zinahitajika harakaaaa

    nauza IST nyeusi namba CS.! imeingia nchini mwaka jana! imelipiwa mambo ya insurance had january mwakani! kama uko interested tutafutane! niko dar!
  2. T

    gari swift nauza

    hivi vigari vya swift mbona mnaviuza sana? ni vibovu nini? nilikuwa nakitaka, ila sasa sikihitaji tena, nasikia vinasumbua sensa!
  3. T

    Toyota IST for sale exccellent condition, cheap price

    kula saba mkuu! kama unakubar kesho tuonane nikupe mzigo! husiniambie niongeze kidogo mana sina zaid ya hapo
  4. T

    IST for sale

    kula saba mkuu! kama unakubar kesho tuonane nikupe mzigo! husiniambie niongeze kidogo mana sina zaid ya hapo
  5. T

    Natafuta Suzuki Swift au Toyota Platz

    Tuwasiliane basi
  6. T

    Natafuta Suzuki Swift au Toyota Platz

    Wadau, ninatafuta moja ya magari tajwa hapo juu! ila zaidi napendelea Swift! liwe na cc si zaidi ya 1,400! liwe lina hali nzuri! nina milion tano na laki tano tu! mwenye nalo anipm picha zake! Ahsante
  7. T

    Kwa hili UDOM nimewapongeza!

    Huu ni uongo wa kimataifa....!
  8. T

    Kwa hili UDOM nimewapongeza!

    Kwa maana hiyo ni kuwa hata watu wanaosoma vyuo vingine ambavyo hujavitaja hapo kama UDSM na Mzumbe hawafai kufundisha vyuo hivyo wewe ulivyosema vinafundisha utendaji! kwa kuwa wao walipokuwa chuo hawakujifunza utendaji bali kusoma kwa nadharia. Sasa mtu ambaye hakujifunza utendaji...
  9. T

    Kwa hili UDOM nimewapongeza!

    Salaam ndugu zangu. Ni juzi tu UDOM wametoa majina ya watu wa kwenda kufanya usahili kwa kada za wanataaluma na waendeshaji. Kilichonifurahisha kuhusu UDOM kwa mara hii ni hiki; wametoa mambo ya ubaguzi wa vyuo, kwa kada za wakufunzi wameita watu waliokuwa na vigezo kutoka karibia vyuo vyote...
  10. T

    Tutorial Assistant

    mwaka jana tutorial assistant walikuwa wanapata 1,468,000! Sijui kwa sasa wanapataje baada ya ongezeko la mshahara la mwezi wa saba! Nenda kafanye kazi, ukipata masters utapata zaidi ya 2M
  11. T

    Assistant Lecturer in Accounting and finance anatafutwa kwa haraka

    Wewe ni genious..........!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. T

    Assistant Lecturer in Accounting and finance anatafutwa kwa haraka

    Ndugu Mussa Mujule mimi nimesema mtu anayetakiwa awe masters kati ya zile nilizozitaja. ni kweli kuwa kwa Tanzania hakuna chuo kinachotoa masters ya accounting pekee ila mzumbe university inatoa masters of science in accounting and finance. Pamoja na kuwa Tanzania hakuna chuo kinachotoa masters...
  13. T

    Assistant Lecturer in Accounting and finance anatafutwa kwa haraka

    Kwa vyuo vinavyotoa wahitimu wa uhasibu huwa vinategemea wanafunzi wake wapate exemption kutoka katika bodi yao ya uhasibu (NBAA) pindi wanapomaliza na kutaka kufanya mitihani hiyo ya bodi. NBAA uvitaka vyuo usika kuwa na staff wenye uwezo wa kuwafundisha watu masomo ya uhasibu vizuri ili waweze...
  14. T

    Assistant Lecturer in Accounting and finance anatafutwa kwa haraka

    Wapo wenye BAF, CPA (T) + MSc. serikalini na wanalipwa TGS D, wapo wenye BAF tu wanalipwa hadi 3M. Bahati za wanadamu hazifanani, wapo wanaoona 1.5M ni kubwa. Na kwa Tanzania hapa hata kwenye vyuo vikuu vya umma Mshahara wa assistant lecturer unakaribia 2M. Kwa hiyo bado jamaa wamejitahidi. Kwa...
  15. T

    Assistant Lecturer in Accounting and finance anatafutwa kwa haraka

    Wote mlio ni PM nitawajibu mmoja mmoja! pamoja sana ndugu zangu.
Back
Top Bottom