Mimi pia nimepsta connection ya TIT. Naifanyia utafiti ila naona utajiri upo,, nna siku Tatu bado sijadeposit mtaji wangu ukitaka link nitafute dm, ila hakikisha kahela uliko nako hakafungamani na roho yako usije ukaanza kulaumu, kwa Sasa naendelea na F.I.C ambaya nina mwezi na nusu mtaji wangu...
Kwa walioajiriwa 2014, 2015, 2016 na 2017 wote walipanda 2021, yaani wanaona wako sawa tu. Kama ukipata mbinu tofauti ya kipato achana na ualimu. Mwalomu ni mtu ambae anaonewa na hana wakumtetea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.