Recent content by twahil

  1. twahil

    UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

    Mtu mwenye ushungi hajui mambo ya biashara? Sura nacho ni kigezo za mtu anayejua biashara? Amekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu muda mrefu huoni kuwa huo uzoefu ndio unambeba? Mods thread za namna hii zinapandikiza udini, zio za ku-entertain.
  2. twahil

    Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

    JF mevamiwa na watoto wa shule brother hawasomi taarifa, wanashinda FB tu.
  3. twahil

    Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

    Hii JF sikuhizi imevamiwa na watoto, kwamba DRC haina mchango wa kiuchumi kwa Tanzania? Unajua kuwa DRC ni mshirika wetu mkubwa wa Bandari ya DSM? Nyie watoto mbaki FB huko.
  4. twahil

    Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

    Serikali iliyoficha kifo cha Rais Magufuli ilikuwa ni Serikali ya Awamu ya Tano na sio Serikali ya Awamu ya Sita. Serikali hiyo haipo tena, hivyo aulizwe Hayati Magufuli, Rais Samia hakuwa consumer wa intelligence information.
  5. twahil

    Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

    Pia anawazushia viongozi kuwa wamehongwa na mabeberu na pia walifeki kuwa wamechanja.
  6. twahil

    Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

    Hizo stages haziwezi kuwa fupi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia? Kama unaamini hizo stages kuwa inabidi zifuatwe, kwanini ushindwe kuamini hao walioziweka wanavyotwambia kuwa chanjo ni salama?
  7. twahil

    Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

    Kimsingi kundi hilo linapinga kwa maslahi binafsi kwakuwa limewekwa nje ya maamuzi ndani ya Serikali na Chama. Kitendo cha Polepole kuendesha kampeni za kuipinga chanjo inayopigiwa chapuo na Rais na Mwenyekiti wake wa CCM ni kiashiria kuwa ana chuki binafsi na uongozi wa sasa. Mtu muungwana...
  8. twahil

    Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

    Kwahio kutonunua kwao kutaondoa wao kutengeneza magari? Halafu unaposema miaka 60 Tanzania haijawahi kuwa na vita mbaya, unajua kuwa Tz imepigana vita mbaya 1978? Unajua kuwa Tz imepigana vita kuzikomboa nchi za Kusini mwa Afrika? Utakuwa umezaliwa 90s wewe sio bure.
  9. twahil

    Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

    Umelaaniwa wewe sie tuko vizuri, Waziri kusema tutanunua gari kutoka Rwanda imekuwa nongwa? Yani uko tayari tununue kutoka Japan ila sio kwa majirani zetu ambao nao wanatuungisha kutumia bandari yetu.
  10. twahil

    Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

    Mie huku Kilimanjaro hakuna mijadala inayozungumzwa humu. Wananchi wanajadili masuala ya maendeleo.
  11. twahil

    Serikali ya Rais Samia yagoma kuondoa tozo za miamala ya simu

    Magufuli alikuwa anakopa sana kutoka nje. Ndani ya muda mfupi deni limeshuti sana. Mama hawezi kukopa hivyo, zaidi inabidi tugharamie kwa kulipa kodi.
  12. twahil

    Serikali ya Rais Samia yagoma kuondoa tozo za miamala ya simu

    Tunakubaliana na Serikali tozo zibaki ila ziangaliwe katika utozaji. Kusema ziondolewe kabisa ni kuihujimu Serikali ya Mama Samia imeshindwe kupeleka huduma za jamii kwa wananchi na kisha waanze kuisema.
  13. twahil

    Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa

    Umemalizia vzr tusubiri tuone. But hao waliotuletea chanjo ya Homa ya Ini ndio waliotuletea chanjo ya Corona. Sioni kwanini watudanganye wakati kwenye Homa ya Ini walitwambia ukweli.
  14. twahil

    Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa

    Hakuna sarakasi, chanjo haizuii Corona tumeishaambiwa hivyo. What it does is kupunguza athari ambazo ungepata iwapo utaambukizwa Corona tofauti na mtu ambaye hajachanjwa. Ndio maana wanasema ni hiari wewe mwenyewe utaona, na Serikali imetoa kipaumbele kwa wazee, na wenye magonjwa sugu coz haya...
Back
Top Bottom