Watanzania si kwamba hawawezi kuandama na sikama hawapo tayari kuandamana kwa hilo lisikuoe imani, sababu kuu kwa sasa itakayokwamisha maandamano ya tarehe 29 yasifanikiwe kama inavyotarajiwa ni kutokana wengi wawananchi hawapati taarifa sahihi yaani vyombo vyetu vya habari havitoi habari...
Mafwele alipotajwa na Sativa kuhusika katika kutekwa kwake serikali kupitia jeshi la polisi lilimpandisha cheo nakuwa ZCO, hivyo mimi na wewe inabidi tuisifu na kuipongeza serikali kwa jambo hili zuri walilolifanya kwa sababu ni hatua kubwa ya kulinda watuhumiwa wa utekaji ili wasizulike kwa...
Asante kwa swali lako, jibu ni kwamba kuwataja hadharani Itasaidia kuondoa taharuki kwa jamii maana ukweli unapodhihiri uovu hujitenga, pia wakitambulika itawarahisishia jeshi la polisi kutekeleza majukumu yao.
Ikiwa mamlaka zisipowachukulia hatua umma utajiridhisha kwamba serikali yao...
Mi nadhani kwa hali ilivyo sasa na matukio haya yanayoendelea ilikuwa ni muda sahihiwa hawa wasiojulikaana kitajwa hadharani ili kuwalinda wale ambao bado hawajapotezwa
Swali la kujiuliza ameruhusiwa kurudisha fomu kwa tume ya uchaguzi je hiyo tume italipitisha jina lake ili agombee hiyo nafasi ya urais mwenye mamlaka ya nani agombee ni tume na si mahakama
Ukituliza akili kwa lengo la kutafakari utagundua kuwa hii kesi inayoendela kwa sasa ni kama Polisi dhidi ya Jamuhuri na si Jamuhuri dhidi ya Tundu Lisu.
Maana yake polisi inatushataki wananchi kwa kupitia Tundu Lisu na kitu kinachonifanya niamini hivyo kwa sababu inakuwaje mimi Mwananchi...
Msigwa ili bidi ajiulize huwenda wale mashabiki wasimba ni watumiaji wa mtandao wa Jamiifirums hivyo wanahasira naye kwa kuwafungia mtandao wao pendwa na kusababisha taharuki ya kujaza mi VPN katika simu
Nadhani hujamfatilia Polepole tokea mwanzo au kama unamfatilia basi humalizi katika yale anayoyaeleza, yote unayomshauri alishayasema na kuhusu Rostam hatajibizana naye tena ameshasema hilo, kuanzia wiki ijayo ataanza na afya na jinsi mifumo ya bima ya afya ilivyo ya kihuni lakini pia amesema...
Asante kwa maswali yako nikianza na la kwanza.
Kama ulimfatilia Polepole utaungana nami kuwa lengo lake halikuwa kuwataja waovu au kufichua hayo machafu kama unayosema, Polepole alidai kuwa mchakato ndani ya CCM wa kumpata mgombea urais Mama Samia haukuwa wa haki kwa maana umekiuka desturi zao...
Ni kweli wewe huwezi kumuelewa Polepole kwa sababu huna unachokipata tofauti na kupewa na hao anaowatuhumu, Polepole anawajua wote ila hataki kuwataja kwa sababu anasubiri mtu ajioneshe mwenyewe ili Watanzania wajue machafu yake. Je ulijua kama Wasila alishawahi kumtusi baba wa taifa mwalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.