Acha kujichanganya kijana, elimu bora haipimwi kwa wingi wa majengo(vyuo) wala kwa idadi ya wahitimu. First priority ni kuimarisha elimu. Hivyo viwanda si vitakufa tu kama vilivyokufa awali!?. Elimu bora inahitajika, tupate graduate wengi wenye ubora wa kusimamia viwanda vyetu na kuweza...
Najua una lengo la kuponda sera za Ukawa. Ungejitahidi utafute issue nyingine sio hii. Hizo scenario za 1ml vs 35ml ni less than 0.5%. Wanufaika wa misamaha hii wengi wetu(madaktari, walimu, wanasheria, mainjinia) hatuna vipato vya kutosha. Pia kuna idadi kubwa ya wahitimu hawajapata ajira...
Mtoa post funguka vizuri ueleweke!. Huwezi kutumia kigezo cha HG kuamka mapema na kulala late pamoja na mshahara wa 30,000 kuwa ananyanyaswa. Kabala hujakurupuka kuja hapa ungeuliza masaa mengine anafanya nini?.Mfano HG wangu huwa tunaamka nae saa kumi alfajiri. Wakati ss tunajiandaa na...
Mtoa post unaonekana mjanjamjanja lakini umeshindwa kabisa kuuficha ukweli kwamba unatumika.
SOMA VIZURI POINT NO. 5 & 8.
eg
Namba 8 inaonesha kwamba washauri/walinzi wa Gwajima ni wanyenyekevu sana kwake. Lkn kwenye namba tano umedai hao hao washauri/walinzi wanaurasimu kwa wanawake...
Sasa huyo rafiki yako kakataa au kashindwa kwenda kazini?. Hiyo hospitali yuko yeye peke yake?. Bila shaka kuna manesi, wataalamu wa maabala, na madkr wenzake waloshindwa pia. Je hao wote watumiwe usafiri?..
Ndugu nadhani huelewi unachokitaka. Likalikoma hilo watz wengi tutatseka kwa kukosa huduma za afya kwa gharama nafuu. Sera ya serikali ktk afya iko wazi, kwani kuna misikiti imeanzisha hospitali pahala pasipo na hospitali ya serikali na serikali imegoma kuifanya hospitali teule!?..
Kwa hali ilivyo sasa ukiugua/kuuguliwa ni stress tupu sababu ya gharama na urasimu. Consultation fees zitaendelea kuongezeka kila kukicha.. Hiyo 10,000 nadhani ndo the lowest fee kumwona specialist Tz..
WAY FORWARD.....
Serikali inatakiwa kuweka utaratibu utakaowawezesha watanzania wote wawe...
Kuna uwezekano hayo mabaki yametolewa from one of the medical school in Dar ingawa sidhani kama kuna Chuo kinaweza kutumia idadi kubwa ya cadava kiasi hiki. Hakuna daktari asiepitia hatua hii. TATIZO ni hao waliokuja kutupa hapo. Kwa kawaida baada ya mafunzo mabaki yote huwa handled with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.