Recent content by Tuvia

  1. T

    JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

    Nisikilize Pia Maneno yangu kama Utayazingatia Pia itakuwa Njema. Umri si Kigezo cha Kufanikiwa na Kutofanikiwa maana Unaweza Fanikiwa ndani ya Miezi au Mwaka tu ukawa na Pesa za Kutosha, ukafanya hayo Unayoyasema ... ILA angalizo Langu ni Hili ,Mafanikio yako Yampendeze Mungu, Tafadhali usije...
  2. T

    JamiiForums Tanzania NILITAMKIWA MANENO>>>KWA KIASI YAMETIMIA>>>

    Sijaelewa MANENO GANI yametimia?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 bila kusikiliza muziki.

    Haya Ya Mungu!?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Ukitaka Kujua Mungu Yupo na Anakuvumilia Kwa Ujinga Wote Unaofanya Hata Wa Kumsema Kuwa Hayupo jaribu Mambo Haya 1. Tafuta Mali kwa Njia Zisizohalali , utakayokutana nayo Huko yatakufanya Uamini kwamba Mungu Yupo 2. Ponda Starehe sana Kula Maisha msahau Yeye kwamba Hayupo. Huwa baadae...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku: Joel Lwaga amekosea sana kufanya wimbo na Diamond Platinumz

    Huwezi Jua Mungu ana njia Nyingi sana. Kumbuka Paulo alikuwa anawasaka Wakristo awaangamize. Ila Mwisho wa Siku Akawa Ni Mkristo Hodari, Hivyo Hivyo kwa Watalawa Wengi Labda inaweza kuwa njia Nzuri pia ya Kumpokea Yesu kristo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Imani Siyo Kitabu Maana Wakristo wa Kwanza Hawakuhitaji Wawe na Kitabu Ili Waamini Kuamini Ni Kusikia Matendo Mema na Yatokayo kwa Mungu si Kitabu. Vitabu Vilikuwa Vingi sana Kabla hata Ya Hiki Unachokiona Sasa Hivi na Vingine vilikataliwa. Haihitaji Kitabu mtu Kuamini Ila Kusikia Na Kumkiri...
Back
Top Bottom