Recent content by TUTUO

  1. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Mkimaliza Kuwaondoa Wamachinga muanze kampeni ya Kuondoa Nyumba za Zamani zilizopo Pembezoni Mwa barabara

    Uzeeni hyo nyumba ya urithi 300milioni nendeni zenu Kgmbn huko mkajenge nyumba za maana na hela za mtaji zinabaki
  2. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Mkimaliza Kuwaondoa Wamachinga muanze kampeni ya Kuondoa Nyumba za Zamani zilizopo Pembezoni Mwa barabara

    Naunga mkonyo hoja, Shaurimoyo Manzese, Tandale Buguruni Vingunguti, Ubungo maji kwa kuanzia wavunje vibanda umiza vyote nyumba za hovyo mabati yamejaa kutu tupu kama huamini shuka na ndege uone Dar ilivyo mbaya
  3. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Unafahamu 21% ya waajiriwa wanatakiwa kuwa Wazanzibar?

    Chukua Kvant kubwa kwa Mangi nakuja lipa
  4. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Unafahamu 21% ya waajiriwa wanatakiwa kuwa Wazanzibar?

    Wakikujibu nishtue
  5. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Suala la UKIMWI Njombe: Inahitajika hali ya dharura

    Wanadanganya upo sana ili wapate hela za donor au sijakuelewa?
  6. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Suala la UKIMWI Njombe: Inahitajika hali ya dharura

    Hv ile dawa ya Ngoma iliyogunduliwa nadhani na waisrael imeishia wapi?
  7. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Suala la UKIMWI Njombe: Inahitajika hali ya dharura

    Kwahyo huko Njombe ndio wanajua kunyanduana sana
  8. TUTUO

    JamiiForums Tanzania KKKT Mbezi Beach msilazimishe waumini kuabudu kwa Kiingereza

    Makanisa wajenge mabeberu wewe ukatae misa za kizungu hebu acha ungese
  9. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza uchunguzi dhidi ya QNET baada ya wengi kujiripoti kuwa wametapeliwa na wengine kuacha kazi kabisa

    Hao Aim global wanatofauti gani? wote ndio wale wale hatudanganyiki tena hao wameona wagonjwa wa kisukari ndio dili
  10. TUTUO

    JamiiForums Tanzania KILEMBA: Dhuluma/ uporaji/ unyang'anyi kwa wafanyabiashara wapangaji katika majengo ya Kariakoo

    Watu wanahela aisee hyo 20m si mtaji mkubwa huo? nyie mnatoa kilemba bado kodi sijui ndio TSH ngapi, mtaji nadhani ndio million 300
  11. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Wewe mwenye hati kwanini huendelezi mpaka wanakuja kuuziana ,hujaweka chochote hata kupanda miti umeshindwa
  12. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Hela za Mr kuku zimepelekwa wapi?
  13. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Njoo usafishe walau majirani zako tukujue mnachelewesha sana maendeleo ukijenga mtaa unachangamka sasa wewe unabanana Manzese huko badala ya kuja kujenga plot yako
  14. TUTUO

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

    Sio faida hyo,utakaporudisha 7m ya mtaji ndipo utaanza kuhesabu faida
Back
Top Bottom