Recent content by Tutuba

  1. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom: Mgodi wanadai mkopo kwa fujo sana

    Nimeingia mgodi nimechukua 100000 maajabu wamenipa 82000 hii imekaaje
  2. T

    JamiiForums Tanzania MRI ocean Road itengenezwe

    Sisi tusio na uwezo tutakufa au cancer itafika grade mbaya wakati tumeshafika hospital imagine process na kuhitaji tu urudishiwe hela itakavokuwa ngumu kwa nini watuandikie MRI wakati wakijua kipimo kibovu na upewe control number ulipie ukifika sehemu ya kupima unaambiwa machine mbovu kwanini...
  3. T

    JamiiForums Tanzania MRI ocean Road itengenezwe

    Wakuu Na mgonjwa Ocean road hapati tiba kwa sababu Machine imeharibika ni week ya pili inakata kipi kinashindwa kutatuliwa ifanye kazi na malipo wanapokea watu wa bima wanapelekwa kupimiwa mhimbili kwanini wa cash nao wasingewafanyia hivo......... sikumpenda Jiwe ila namkumbuka
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Majaribio mazuri sana ila ukieka tu hela nyingi anapita nayo
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha ukilitimba mambo ya kike ndo yapoje heshimu mamaaako
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    52A9A10 betpawa
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio
  8. T

    Tupo wengi sana wadada Maisha kutafuta
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dugange na Kiwanga ndio Matajiri wa kwanza kabisa pale Makambako!

    Mzee kipara ..... mahusiano umemsahau huyu
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tamaa mbaya nilikua na odds95 tayari nikaanza kujiongezea nitajirike huku roho haimtamani ajax ila dau nitalopata nalitamani matokeo ndo hayo
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kapigwa na timu ilikua na odds zaidi ya kumi nimemind kishenzi yaan timu kubwa bora magoli
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa mmetufungia kubet live ya Yanga dah
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tukeshe Emirates pale
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    7A59BBE betpawa
  15. T

Back
Top Bottom