Sasa si hamia kenya jinga wewe!!!
wewe una akili sana, mzalendo, una hoja maridhawa, mwanachadema mtiifu, ila kwenye REAL LIFE UMESTACK na failure na kutopata unachotaka!!! unashindwa kujua dunia na uhalisia wake, LIFE sio kuhusu logic na sense kama utakavyo!!
Sasa baadae kila mtu unamwona...
sasa wewe hemaphrodite
kwa sasa si kuna uhuru, HAO WATU WATAJE AKINA NANI WALIHUSIKA, NA MAJINA YAO!!
HATA LISSU ASEME WALIOTAKA KUMUU, KUBWA LA MAADUI SI KAISHA KUFA??
WEKENI WAZI KILA KITU SASA
BWABWA WE
ulianza vizuri, ila umefika mahali unajianika!!!
unataka kusema miradi ni wazo la JPM sio??? jinga wewe!!! miradi yote ilianza kabla, yake, ilipembuliwa kabla yake, alikuja kusimamia tu!!! ebu ukiwa unachamba uujue huu ukweli
pia umeingia kwenue record ya watanzania wajinga ambao hawajui spika...
una chuki kwa zitto, na unaifanya iwe kubwa kisa unajikomba kwa Lema, Lissu na Mbowe
SO FAR, sidhani kama washahi kukusaidia kitu
ACHA KUDHANIA!!! kasema rais atumie njia za kisheria zote, kufanikisha kengo
Hivi hao huko nje mabalozi na mataifa wanayosema mbowe aachiwe, kwa sheria gani...
KICHAMA, CCM IS STRONGER THAN NORMAL
UGOMVI WA CCM KWA CCM NDANI UNAIWEKA SAWA NA AUTOMATICALLY UNAFUTA UPINZANI!!!
Leo ilitakiwa uje na CDM wamesema nini na wapi, ila hauna ajenda hizo!!
ajenda ni mataga sukuma gang
Hivi mama samia si alikuwa makamu wa rais? KURA ZA serikali hii si ni za...
Mpaka CHADEMA washasahau nafasi yao, wako na polepole na yanayoendelea CCM
Mtu pekee ambae atakuwa kwenye position ya kuwa na aiba, mentality na akili kama JPM, ndio anapata kura 2025
wabunge chukueni hili, nje ya hapo imekula kwenu
wewe ndio hauna akili hata kuuliza swali hili
au unafanya kazi kama houseboy kwa Nape?
Tangu lini Nape ana akili???
katubu kwa mama yako, hakukuzaa mjinga hivi
wahaya sio wajinga hivi!!!!
achana na maneno ya mtaani weka fact hapa na sababu
au kupigania madini, ikiwemo tanzanite n.k ndio kuharibu diplomasia?
kabla ya hapo uliwahi kufaidi nini na diplomasia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.