Baada ya UKAWA kumsimamisha lowasa kuwa mgombea urais kwa tikeki ya UKAWA, pia umoja huo umemteu aliekuwa mwanasheria mkuu wa serekali ya Zanzibar mh Othman masoud kuwa mgombea mwenza wa ukawa kesho panapo majaaliwa mh Othman masoud atachukuwa kadi ya chadema ili awe mwanachama ili apate kugombea.
kwa yeyote alio na gari na akawa tayari kuniuzia basi anipigie 0657617671 au 0773617671, sio unakoment tu, au km lengo lako tukujuwe km nawewe una gari OK.
Tupo Ilala Lindi na shauri moyo dareslam, tunanunuwa gari zilizopata ajali au mbovu ambazo mwenyewe zimemshinda au hataki kuhangaika kuzitengeza km unayo au unamfahamu mtu ambaye anayo wasiliana nasi kwa 0657617671 au 0773617671, NJOO TUSAIDIANE MSTATIZO.
Kama kichwa cha habari kinavo someka, kwa yeyote alio na gari iliopata ajali na akawa hana mpango wa kuitengeneza tena, mimi nanunuwa na kuikata kata kwa ajili ya kuuza spea mimi nipo dareslm ilala Lindi na shauri moyo, namba zangu ni 0657617671 au 0773617671. Na wale watu wa bima km wamo humu...
Mimi ni kijana nilieajiriwa katika duka la spea, lakin muajiri wangu kaamuwa kuachsna na biashara ya spea na ameamuwa kufanya biashara ya magari kutoka japani, hivo nimepewa mgao wangu (5 milion) na fremu pamoja na baadhi ya spea nimeachiwa hivo nimeamuwa ninuwe magari ya ajali hapa hapa bongo...
CHADEMA kinaendelea kujifanya Mungu mtu ndani ya UKAWA, hii imetokana na chama hicho kulazimisha lazima kiwaburuze vyama vyengine ndani ya UKAWA, hii imekuja baada ya CHADEMA kutaka kitoe rais na wabunge wengi jambo lililopingwa na vyama vyengine ambavyo vimetaka aidha CHADEMA watowe rais na...
Muda wowote kuanzia sasa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kitajitowa kwenye umoja wa katiba ya wananchi Ukawa, hii imekuja baada ya chama hicho kulazimisha lazima katibu mkuu wake ateuliwe kuwa mhombea urais ata kwa nguvu japo hakubaliki kwenye umoja huo, alionielrza hayo amenambia km...
Watu watatu wamepigwa risasi huko makunduchi Unguja, walipokuwa wanajaribu kuwazuia mapandikizi wasiandikishwe walioletwa na magari ya vikosi vvya SMZ, majeruhi wamewahishwa katika hospitali ya mnazi mmoja na hali zao ni mbaya sana,. my take Haji Omar kheri na wenzako munajiskiaje munapo kaa na...
Ama kweli watanzania alieturoga sasa ni marehemu na alituroga kwa mzizi mkavu, baada ya watanzania kulalamika sana kupanda kwa dola dhidi ya shilingi yao, serekali sikivu ya ccm ikajuwa km afae kwa shira huna haja ya kumpa sumu, ndipo walipo amuwa kuja porojo la msururu wa watngazania mpaka...
Ni muda mchache tangu chama cha wananchi cuf kutangaza rasmi wagombea watakao kiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu hapo October katika nafasi za ubunge na uwakilishi katika majimbo yote ya Zanzibar, hali imekuwa mbaya kwa chama hicho cha upinzani baad ya kuwaangusha wagombea...
Ikiwa imebakia takriban miez minne tu kabla ya watanzania ya watanzania kupiga kura ili kucha madiwani, wabunge na rais wa jamhuri ya mungano wa Tanzania, nå madiwani wawakilishi nå rais wazanzibar kwa upande wa Zanzibar, nimeonaniwakumbushe wale wasiojielewa mana kuna mijitu haitaki kupiga...
Ni miongoni mwa wazee ( wajomba) kwa hio kwenye familia kuna km watu watatu hivi wameshafanikiwa kimaisha kwa hio wanataka kusaidia familia kwa staili hio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.