Ukitaka kujua kweli raia eneo lile walikuwepo kihalali ni kwamba uwanja wa ndege wana mpango wakuwahamisha na wameshawafanyia tathmini kwajili ya kuwafanyia malipo na viwanja watapewa sasa ninavyofahamu ni kua mvamizi wa eneo huwa halipwi anaondolewa.
Kama unaijua njia inayoingia kwenda airwing sekondari ndio inayo zuiwa. Njia hiyo imetumika na raia tangu mwaka 1979 bila bugudha yeyote na ni njia inayoweka mipaka kati ya raia na jeshi kifupi imekua ikitumika na raia mda wote sasa leo hii unaposema mazoea je awali hapakua na jeshi. Na kwanni...
Tangu kuingia kwa mkuu huyu mpya wa kambi hii ambae ni Mtanzania wa visiwani kumekua na utoaji wa amri za kimabavu na uonevu kwa raia wanaoishi karibu na kambi hiyo na kuna tetesi kua wanataka kutuwekea fensi tusiwe tunatoka kabisa katika nyumba zetu na nia hii imekwishaanza kuonekana kwani...
Sisi wananchi tunaoishi maeneo Kipunguni karibu na kambi ya jeshi ya kikosi cha anga airwing Dar es salaam tumekuwa tukinyanyaswa sana na jeshi letu la wananchi wa Tanzania kwa kile kinachodaiwa kuwa ni AMRI KUTOKA KWA MKUU WA KIKOSI HICHO.
Tumekua tukikatazwa wazi wazi kutokuitunia njia hiyo...
Ndugu nimeweka namba hapo piga simu sio kuongea tu na kukomaa na hizo whatsapp kwani simu yako si inaweza kupiga piga nikuelekeze sio kulalamika tu haisaidiii. Umeshaona mwenzako kakosoa kuhusu post yangu na nimemjibu badala ya kutafuta namna yakufanya unarudi kulekule i hope wewe huna nia nzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.